Wewe jamaa ni kati ya watu ambao wako underrated sana hapa JF. Hiki unachofanya kuleta matangazo ya kazi humu kutoka sehemu mbalimbali, bila kuwa na maslahi yoyote (eg kuweka link ya website yako, etc) ni kitu kikubwa sana, na ama kwa hakika Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi katika mihangaiko yako. I really appreciate what you are doing mkuu. Keep it up.
Ushimen