tufahamishane
Member
- Jun 22, 2024
- 28
- 30
Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu