tufahamishane
Member
- Jun 22, 2024
- 28
- 30
Usijilinganishe na walioshindwa, jilinganishe na waliofanikiwa.Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
Bado hujaelezea in details, umeandika juu juu tuNirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
Watu wengi hawaibezi nchi bali watu.Nirahisi kuibeza Tanzania
hata kwa umasikini bora tumo 😂🤣......huduma za kijamii duni tumoNirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
Kwa hiyo kigezo cha amani ndiyo mnakitumia kama kigezo cha kukandamiza haki nyingine za msingi za watu siyo!!Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
Maandamano yetu ya AMANI ya CHADEMA yalivunja Rekodi kuwa ni Maandamano ambayo hata Nzi hakujeruhiwa.Tuna uoga na sio amani
Hizo lugha za wezi ili waibiwa washtuke ili waendele. kuwaibiaNirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
Kwa vile unashiba ugari basi Tanzania ni nchi bora kuliko zote ulimwenguni. Aliyekuroga wewe ameshakufa.Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
Maandamano n lazima kuwe na mabomu ya machozi na ghasia tofauti na hvy bc hy n joggingMaandamano yetu ya AMANI ya CHADEMA yalivunja Rekodi kuwa ni Maandamano ambayo hata Nzi hakujeruhiwa.
Tumeshuhudia Majirani zetu Maandamano yao GHASIA na UPORAJI na UCHOMAJI MOTO dhidi ya Nchi yao.
Sisi tutaendelea kudai HAKI zetu kwa njia ya AMANI ikibidi tutaenda hadi UN.
Tofautisha Riots na Protest.Maandamano n lazima kuwe na mabomu ya machozi na ghasia tofauti na hvy bc hy n jogging
Umerogwa wewe, sio bure!Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
PumbavuNirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka wewe unalala na kushiba unalala kwenye Amani.
Watanzania tumushukru Mungu kwa kuwa na Amani na utu
Huu ni mzoga uliooza kabisaMaiti nyingine hii hapa jamani aliyoisema jomo kenyatta