Unajua gharama ya kununua gari mpya?Wana discourage tusitununue screpa mkuu
Wakipunguza kodi barabarani itakuwa vituko
Japani kuna gari hadi ya dola 600 [emoji2][emoji2]
Watanzania tunsvyopenda cheap barabara zitajaa mikebe
Sasa unadhani wasomi wetu wanajua dhana ya "competitive advantage" na kutumia nafasi yetu kua na bandari kufaidika kama nchi?Kwa kuongezea Malawi, Zambia,Burundi,Congo na Rwanda wangekuwa wanakuja kununua magali katika show room za hapa Tanzania badala ya kuagiza moja kwa moja Japan
Sio lazima iwe Mpya unaconsider imetembea umbali Gani in terms of KMUnajua gharama ya kununua gari mpya?
Unajua kuna gari za mwaka 2000 huko be forward na zimetembea KM 40,000 tu zenyewe unazichukulia ni mpya au?Sio lazima iwe Mpya unaconsider imetembea umbali Gani in terms of KM
Uhuni unafanyika kuchezea KM kaka trust meUnajua kuna gari za mwaka 2000 huko be forward na zimetembea KM 40,000 tu zenyewe unazichukulia ni mpya au?
Ni kweli mkuu, nilikuwa capetown,gari za mjapani ni za kuhesabuSasa si ndiyo tutanunua magari ya kueleweka mzee baba?
Maana kama ninanunua gari ya $10000 na kodi yake $10000 si nitaziwekaa pamoja nichukue kitu cha maana.
Nimeona nchi zenye kodi ndogo ya magari Africa Toyota unahesabu barabarani.
Ikiwa point watu wasinunue screpa, mbona hata hizo gari za gharama zinalipiwa ushuru same kama hizo screpa unazosema?Wana discourage tusitununue screpa mkuu
Wakipunguza kodi barabarani itakuwa vituko
Japani kuna gari hadi ya dola 600 [emoji2][emoji2]
Watanzania tunsvyopenda cheap barabara zitajaa mikebe
Hii ni point mzee na siyo Toyota kutoonekana barabarani gari likiharibika mtu akipiga mahesabu ya gharama za kulitengeza ni kubwa kuliko kuagiza jipya mtu anaona aagizw jipya lile linakuwa screpaSasa si ndiyo tutanunua magari ya kueleweka mzee baba?
Maana kama ninanunua gari ya $10000 na kodi yake $10000 si nitaziwekaa pamoja nichukue kitu cha maana.
Nimeona nchi zenye kodi ndogo ya magari Africa Toyota unahesabu barabarani.
Kweli namm naliona tatizo; yani unanunua gar kwa 2M, kodi inakuwa 4M lkn jumla inakuwa 7M. Tatizo kubwa sanaKuna tatizo sehemu gari inauzwa 2,000,000. Na kodi 4,000,000.jumla 7,000,000 nchi hii shida vyanzo vya kodi ni vilevile.
kinachoangaliwa ni kuwapiga wananchi vya kutosha maana hatuna mikakati
Wana discourage tusitununue screpa mkuu
Wakipunguza kodi barabarani itakuwa vituko
Japani kuna gari hadi ya dola 600 [emoji2][emoji2]
Watanzania tunsvyopenda cheap barabara zitajaa mikebe
Tukisema hawa wasomi wa nchi hii walisomea ujinga na sio kuelimika
Ndiyo maana Serikali ya hii nchi haifanikiwi. Wanapenda kuvuna wasipopanda. Hadi waache dhuluma kama hizi ndipo watafanikiwa. Yaani wenzao wabuni magari halafu wao ndiyo watake kula kuliko waliobuni na kutengeneza
Nashangaa siku wafanyabiashara wanakutana na raisi hili ndilo lilikuwa jambo muhimu lakini hawakulisema. Nchi ya ajabu sana hiyo