Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speaking of water,most villages across Africa still lag behind. Water sources aren't easily accessible! Sasa katika harakati za kupata maji ndo majanga kama hayo yanatokea.Lkn kilichowaponza umbali wa uwepo wa maji, halafu unakuta wengine wanapiga kelele eti tanzania mko vizuri hyo sekta
Nakubaliana nawe Vijijini bado hali ya maji si shwari, hata wale wanaojitahidi kiuchumi utakuta wanafanikiwa kuleta maji hadi nje ya nyumba zao na kuweka tap au wanachimba Visima, ni wachache sana wanafanya plumbing indoor.Lkn kilichowaponza umbali wa uwepo wa maji, halafu unakuta wengine wanapiga kelele eti tanzania mko vizuri hyo sekta
Ingelikua kenya hapo jamaa wangelipiga kelele hapa, ona sasa mnavyoumbuka kw kujisifia ujinga..
RIP[emoji24]
View attachment 1472100
Your mind needs serious revolution!Hili limepatikana kimakosa, taarifa kama hizi zinapaswa kufichwa, mwandishi itasemekana sio mzalendo[emoji23], wengine humu wanafikiri Tz ni mahali yeye anakoishi, hajui kuna wengi wao wanakula tabu sana kwingineko. They need media reforms la sivyo hawakomboleki kiuchumi, only propaganda rules their mind.
Nakubaliana nawe Vijijini bado hali ya maji si shwari, hata wale wanaojitahidi kiuchumi utakuta wanafanikiwa kuleta maji hadi nje ya nyumba zao na kuweka tap au wanachimba Visima, ni wachache sana wanafanya plumbing indoor,
Japo kwa Kenya kesi ni tofauti maana Nairobi penyewe maji ni Dhahabu, sipati picha huko Masabit na Garisa, watu lazima mnakunywa mikojo ya Punda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe Vijijini bado hali ya maji si shwari, hata wale wanaojitahidi kiuchumi utakuta wanafanikiwa kuleta maji hadi nje ya nyumba zao na kuweka tap au wanachimba Visima, ni wachache sana wanafanya plumbing indoor,
Japo kwa Kenya kesi ni tofauti maana Nairobi penyewe maji ni Dhahabu, sipati picha huko Masabit na Garisa, watu lazima mnakunywa mikojo ya Punda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Your mind needs serious revolution!
Kama Nairobi hakuna maji it is easy for me to conclude that the entire Kenya is thirsty, Dar habari ya Maji tulishaisahau, Na mikoani ndio rahisi kabisa.Kenya water companies are in another level, Nairobi maji ipo ni population imekua kubwa but plumbing infrastructure ni ya kitambo, needs overhaul to meet the demand. Sasa wewe nchi yako bado sana, all towns have connected tap water to the estates, hadi mashambani kwetu, shughulikia hali yenyu. sasa wewe na hiyo fikra yako m utasema South Africa wanakunywa mkojo wakati maji inapotea ata mwezi mzima kule Capetown?
Lol,have you ever visit Tanzania?Nyinyi mnaitaji ukombozi wa kimawazo kaka, hapa hakuna ushabiki, it is your undoing in all fronts.
Hajawai, wengi hawajawaiLol,have you ever visit Tanzania?
Wewe kichwa yako ndio iko mbaya, hakuna taarifa yoyote inayofichwa Tanzania, vyombo vya habari au mitandao ya Kijamii inafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria. Ukweli ni kwamba Tanzania haina matatizo mengi lakini yanapojitokeza kama hivi huwa yanaripotiwa.Hili limepatikana kimakosa, taarifa kama hizi zinapaswa kufichwa, mwandishi itasemekana sio mzalendo[emoji23], wengine humu wanafikiri Tz ni mahali yeye anakoishi, hajui kuna wengi wao wanakula tabu sana kwingineko. They need media reforms la sivyo hawakomboleki kiuchumi, only propaganda rules their mind.
CapeTown ilitokana na ukame, sasa hivi kila kitu kipo sawa, hakuna tena tatizo la MAJI, na hata kulipokua na tatizo la MAJI hawakupata ugonjwa wa Kipindupindu, ninyi tatizo la MAJI na kipindupindu hayajawahi kwisha, iwe ni ukame au ni mvua. Kenya ni nchi ya hivyo sana.Kenya water companies are in another level, Nairobi maji ipo ni population imekua kubwa but plumbing infrastructure ni ya kitambo, needs overhaul to meet the demand. Sasa wewe nchi yako bado sana, all towns have connected tap water to the estates, hadi mashambani kwetu, shughulikia hali yenyu. sasa wewe na hiyo fikra yako m utasema South Africa wanakunywa mkojo wakati maji inapotea ata mwezi mzima kule Capetown?
Hebu tafuta hio kabla nikuumbueKama Nairobi hakuna maji it is easy for me to conclude that the entire Kenya is thirsty, Dar habari ya Maji tulishaisahau, Na mikoani ndio rahisi kabisa,
We are now upgrading the database and the system with installation of prepaid services to all users, Kwetu Iringa ndio Pilot now the whole Tz will go for prepaid water services just Like Electricity,
Kenyans hadi leo mko na Leseni za Vitabu, very outdated
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kubwa usifikir Kama hiko kinchi chenu kuna sehem ukienda wala hujui Kama bado upo Tanzania,na sehem zingine vijijini Sana Yani polini unaweza kuta Kijiji hata nyumba20 hazifiki unazani utakosa wanyama wakal sehem Kama hizo? La pili vipi Kwan ushaolewa? samahani nataka kujuaLkn kilichowaponza umbali wa uwepo wa maji, halafu unakuta wengine wanapiga kelele eti tanzania mko vizuri hyo sekta
!CapeTown ilitokana na ukame, sasa hivi kila kitu kipo sawa, hakuna tena tatizo la MAJI, na hata kulipokua na tatizo la MAJI hawakupata ugonjwa wa Kipindupindu, ninyi tatizo la MAJI na kipindupindu hayajawahi kwisha, iwe ni ukame au ni mvua. Kenya ni nchi ya hivyo sana
Alaaa!! Kumbe zile pumba pumba eti maji safi nchi nzima mnalishwa matango pori..Tanzania kubwa usifikir Kama hiko kinchi chenu kuna sehem ukienda wala hujui Kama bado upo Tanzania,na sehem zingine vijijini Sana Yani polini unaweza kuta Kijiji hata nyumba20 hazifiki unazani utakosa wanyama wakal sehem Kama hizo? La pili vipi Kwan ushaolewa? samahani nataka kujua