Tanzania--Nchi ya Fisi Mla maskini

Tanzania--Nchi ya Fisi Mla maskini

kayundi2

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2009
Posts
210
Reaction score
21
Mimi jana kaitembelea mkahawa maarufu jijini Dar.Wenzangu sikuamini yale niliyoyaona.
Hapa Kwetu kuna wenzetu wanaolipa Dola Mia Tatu Hamsini usiku moja katika jumba cha Kulala....Maskini Watanzania.....Niliwaona karibu wabungu wanne humo ndani.
Ziangalie baadhi ya hiz Mahoteli
The Best Hotels in Dar-es-Laam Tanzania
 
Back
Top Bottom