Mimi jana kaitembelea mkahawa maarufu jijini Dar.Wenzangu sikuamini yale niliyoyaona.
Hapa Kwetu kuna wenzetu wanaolipa Dola Mia Tatu Hamsini usiku moja katika jumba cha Kulala....Maskini Watanzania.....Niliwaona karibu wabungu wanne humo ndani.
Ziangalie baadhi ya hiz Mahoteli The Best Hotels in Dar-es-Laam Tanzania