Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
304
Reaction score
401
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.

Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.

Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.

Nchi imejaa UZEMBE SANA.

80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia

Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
 
Kwani mbolea ya yara inatoka wapi mkuu,, ila kweli Tanzania mmmh! hapana aiseee

Ndo nchi pekee inayoweza kukaa Bungeni kumpongeza mtu alietangulia mbele za haki (marehemu)

Ndo nchi pekee ambayo kiongozi anajisifia kuongoza taifa la watu masikini (wanyonge) tena hadharani bila aibu
 
Yara ya Mzungu bt Serikali through Wizara ya Kilimo waliingia mkataba kuisambaza kwa wakulima kwa bei elekezi ndoa ikafa within 140days.
 
Minjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
Seedco Zambia na kenya na ya kuchakachua ipo ya

Seedco HQ Kenya branch Arusha Tz, Kapiri Zambia, Harare Zimbabwe na MINJINGA ilikua pambio za Kilimo kwanza na tolea la kwanza likaunguza korosho Lindi na Mtwara
 
Kiwanda cha Minjingu Manyara kinazalisha tani 100k kwa mwaka haitoshi hata kwa wakulima wa Mbeya na Ruvuma na pili ina mushkeri katika matumizi.
 
Minjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
Market share kwenye mbegu za ndani bado ndogo sana. Minjingu haijakaa kibiashara sana na zamani ilikuwa ikiuzwa ikiwa ghafi , yaani inachimbwa na kupakiwa kwenye mifuko moja kwa moja. Ikiwa ghafi utendaji kazi wake huwa ni wa tararibu sana, wasingeweza kushindana sokoni na DAP. Kingine walikuwa na mbolea ya kupandia pekee ila kwa sasa kidogo wamebadilika na kuleta toleo jingine lililoboreshwa wanaita minjingu nafaka ingawa kukubalika miongoni mwa wakulima bado sana, wanahitaji nguvu kubwa sana kuitangaza.
 
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.

Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.

Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.

Nchi imejaa UZEMBE SANA.

80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia

Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
CCM inafanya watu mazezeta (MATAGA )ili iwatawale vizuri zaidi
 
tuna ndege, fly over,sgr na wabunge wote ni chama chetu ccm. mambo ya mbolea mbegu sijui nini sio kipaumbele chetu tunataka muendelee kuwa maskini ili ccm itawale milele.

mgambire ccm hoyeeeeee.
 
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.

Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.

Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.

Nchi imejaa UZEMBE SANA.

80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia

Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
wee mwenyewe ni kiwanda tosha, unakunya mbolea, kiwanda cha nini?
heri ungesema viwanda vya madawa, viwanda vya mbolea ni sawa na kupoteza fedha za bure pasipo sababu.
kila siku vyoo vinajaa mavi, madampo yanajaa masokoni, wanyama wanakunya ovyo, hivyo vyote tiyari ni viwanda vya mbolea.
 
Hakuna kiwanda cha Minjingu ni blah blah za kilimo kwanza na mapambio yake. Kwanza hakuna mkulima anataka iyo sumu
Tuache uongo jamani, mbolea ya Minjingu ndio inayotumika mpaka wanabadili anwani ya Production
Mbegu zote zinatoka humuhumu Tanzania, mpaka Kongwa wanazalisha Mahindi na Mtama
Manyara na Arusha wanatoa mbegu za mahindi, alizeti, maua, mbogamboga nk
sisi ndio tunaouza hizo mbegu chini ya label ya TPRI
sasa hizo za Zambia mnauzia duka lipi la pembejeo hapa nchini
HEBU PENDENI VYENU tusidharau kila kitu kwani 75% ya Wakulima hapa Nchini wanahifadhi mbegu zao wenyewe hata Mchicha, mahindi, matango, maboga nk
 
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.

Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.

Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.

Nchi imejaa UZEMBE SANA.

80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia

Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
Minjingu ni kiwanda Cha nn? Ndo maana wazee wataendelea kututawala maana vijana akili hamna
 
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.

Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.

Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.

Nchi imejaa UZEMBE SANA.

80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia

Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
Umeona

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom