MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Hakuna kiwanda cha Minjingu ni blah blah za kilimo kwanza na mapambio yake. Kwanza hakuna mkulima anataka iyo sumuKiwanda cha mbolea tunacho Minjingu buana
Yara ya Mzungu bt Serikali through Wizara ya Kilimo waliingia mkataba kuisambaza kwa wakulima kwa bei elekezi ndoa ikafa within 140days.Kwani mbolea ya yara inatoka wapi mkuu,, ila kweli Tanzania mmmh! hapana aiseee
Ndo nchi pekee inayoweza kukaa Bungeni kumpongeza mtu alietangulia mbele za haki (marehemu)
Ndo nchi pekee ambayo kiongozi anajisifia kuongoza taifa la watu masikini (wanyonge) tena hadharani bila aibu
Seedco Zambia na kenya na ya kuchakachua ipo yaMinjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
Seedco HQ Kenya branch Arusha Tz, Kapiri Zambia, Harare Zimbabwe na MINJINGA ilikua pambio za Kilimo kwanza na tolea la kwanza likaunguza korosho Lindi na MtwaraMinjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
Kiwanda cha Minjingu Manyara kinazalisha tani 100k kwa mwaka haitoshi hata kwa wakulima wa Mbeya na Ruvuma na pili ina mushkeri katika matumizi.Seedco Zambia na kenya na ya kuchakachua ipo ya
Seedco HQ Kenya branch Arusha Tz, Kapiri Zambia, Harare Zimbabwe na MINJINGA ilikua pambio za Kilimo kwanza na tolea la kwanza likaunguza korosho Lindi na Mtwara
Market share kwenye mbegu za ndani bado ndogo sana. Minjingu haijakaa kibiashara sana na zamani ilikuwa ikiuzwa ikiwa ghafi , yaani inachimbwa na kupakiwa kwenye mifuko moja kwa moja. Ikiwa ghafi utendaji kazi wake huwa ni wa tararibu sana, wasingeweza kushindana sokoni na DAP. Kingine walikuwa na mbolea ya kupandia pekee ila kwa sasa kidogo wamebadilika na kuleta toleo jingine lililoboreshwa wanaita minjingu nafaka ingawa kukubalika miongoni mwa wakulima bado sana, wanahitaji nguvu kubwa sana kuitangaza.Minjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
CCM inafanya watu mazezeta (MATAGA )ili iwatawale vizuri zaidiLeo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.
Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.
Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.
Nchi imejaa UZEMBE SANA.
80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia
Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
wee mwenyewe ni kiwanda tosha, unakunya mbolea, kiwanda cha nini?Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.
Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.
Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.
Nchi imejaa UZEMBE SANA.
80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia
Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
Tuache uongo jamani, mbolea ya Minjingu ndio inayotumika mpaka wanabadili anwani ya ProductionHakuna kiwanda cha Minjingu ni blah blah za kilimo kwanza na mapambio yake. Kwanza hakuna mkulima anataka iyo sumu
Nimeshindwa kumshangaa mkuu,ndiyo yale yale ya yule jamaa ooh bodyguard wa Rais kafariki kwa covid 19,kumbe jongooMinjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
Minjingu ni kiwanda Cha nn? Ndo maana wazee wataendelea kututawala maana vijana akili hamnaLeo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.
Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.
Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.
Nchi imejaa UZEMBE SANA.
80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia
Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
UmeonaLeo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.
Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi.
Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao.
Nchi imejaa UZEMBE SANA.
80% ya zao linalolimwa sana nchini MAHINDI mbegu zinatoka Kenya na Zambia
Mbolea bora ya kupandia na kukuzia inatoka URUSI na ARABUNI nchi hizi hazina ardhi ya kilimo bt zinazalisha kwa ajili ya kuuza kwetu.
Kiwanda cha mbolea tunacho Minjingu buana