Tanzania nchi ya pili Afrika kwa Uhuru wa kutoa maoni baada ya SA iko chini kidogo ya UK, CHADEMA mnalijua hili

Hakika tuko vizuri
 
habari nzuri hii
 
Haya ni maajabu ya mwaka mmoja wa Mama,

Vipi akimaliza kumi?
 
Haya ni maajabu ya mwaka mmoja wa Mama,

Vipi akimaliza kumi?
Pindi mtakapofuta doa la kumnyamazisha Mwamba kwa kuidai katiba mpya, mkamsingizia na ugaidi kabisa, angalao uje hapa utuambie tumepanda au tumeendelea kushuka katika eneo Hilo. 🤔
 
Tanzania tuko vizuri mno,
 
Hiyo hiyo Chadema ndio imeleta shinikizo hadi Tanzania imefikia hapo ilipo maanake hata wakati wa dikteta Magufuli walikataa kuburuzwa ili waunge mkono juhudi feki.
 
Kwani UK (Ukerewe) haiko Tanzania, sasa hiyo UK nyingine ya Afrika iko Afrika ya wapi?
 
Tuko vizuri Sana, Tanzania
 
Sisi hatuna shida na uhuru wa kuongea bali tunataka tume huru inayoweza kusimamia uchaguzi ukawa wa haki na wanzania wakawa na viongozi waliowachagua kwa utashi wao.

Kwa sasa tuna uongozi ambao hauna ridhaa ya wananchi na uko madarakani bila uchaguzi wowote kufanyika.
 
Upumbavu uliopindukia et ya pili huo ni ujuha.
 
Uhuru wa kutoa maoni upo, ila baada ya kutoa hayo maoni lazima uudiwe mizengwe nje ya kile ulichokisema.

Ukimtukana raisi utashatakiwa kwa kosa tofauti, utaambiwa laini haijasaliwa na blah blah kama hizo.

Huenda kwa muonekano huo nje wanaona kama kuna uhuru, na walio vitengo/watu maarufu ndio watoa maoni wenyewe na ndo haohao chawa wa raisi.
 
Humo ndani ya CCM kuna vidudu mtu ambao wanaibeza serikali kwa kusifia na kujenga mijadala hasi kwa serikali...kuna mtu katoa mawazo yake kashqmbuliwa na wenzie wewe unqleta hoja mfu kama hiyo?wenye ccm waangalieni watu wa aina hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kulinganisha Uingereza na vinchi vya ajabu ajabu uhuru wa kutoa maoni tz iwe chini kidogo ya uingereza msione kila mtz ni mjinga kisa hao mapambio
 
Sio Sisi ni walioleta hiyo statistics
Sio kila statistics zinazotolewa na asasi mbalimbali duniani ni valid kuna zingine zinakusanywa na wachumia tumbo ambao wana malengo ya muda mrefu kwa watawala ikiwa ni pamoja na makampuni yao kupewa miradi mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…