situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Kwanza nianze kwa kumushukru Mungu muumba mbingu na nchi na Yesu kristo mwokozi wetu.
Naomba kutoa wito kwa viongozi wote wa selikari ya Tanzania kuongoza nchi hii kistarabu kwa sababu Tanzania ni nchi ya watu wastarabu.
Watanzania siyo wajinga Wa Tanzania ni wastarabu. Wa Tanzania wamejaa upendo ni watu waamani na wanao jua kutunza Amani.
Atunapenda penda Amani na utivu, hivyo ni wito wangu kwa watawala wasituchokoze:
1: Uhuru wa kujieleza na kusikilizwa uzingatiwe
2: Siasa safi zizingatiwe
3: Haki ya kuishi na uhai wa watu uthaminiwe
4: Matibabu iwe haki ya kila mwana nchi
5: Ulinzi wa raia na Mali za upewe kipaumbele
6: Elimu Bora itolewe kwa watu wote
7: Mazingira ya kazi na biashara ya boreshwe
8: Chakula na malazi Bora
vizingatiwe kwa wote. Hapo tutaendelea kuwa knya