Tanzania nchi yangu na siasa za ajabu ajabu!!Kumbe Tanzania nayo inasikiliza kesi za UGAIDI???

Tanzania nchi yangu na siasa za ajabu ajabu!!Kumbe Tanzania nayo inasikiliza kesi za UGAIDI???

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
1,095
Reaction score
293
Wapendwa tuliambiwa ati Kamanda Lwakatare ni Gaidi ndani ya nchi ambayo walisema ni kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa na mataifa ya nje hivi hii imekaaje Gaidi from peacefull State?Na kumbe Tanzania ilianza lini kusikiliza kesi za KIGAIDI??Kwa wale wataalamu wa sheria hebu nisaidieni mie wajameni iloi nipate fahamu mie nini kinachoendelea kuhusu hili!!
 
Back
Top Bottom