engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Wana Jf Ingawaje huu mziki ni wa 2010 lakini ni ktk bongo fraver ambayo nyimbo imetungwa na ikatungika,nyimbo ina ujumbe unaoeleweka na mwimbaji amekuwa wazi zaidi ktk kile alichokikusudia kukifikisha kwa adhira
na mala nyingi miziki kama hii yenye ujumbe wa kuchoma huwezi kuisikia ikipigwa maredioni hususani ktk vile vyombo vinavyopenda 10%
Wana JF nimeona niwape nanji mjaribu kusikiliza nini vijana wetu wanafanya ktk kufikisha pale wanapoguswa na matatizo yetu Watanzania
kwa kweli Naomba nimpongeze Kijana Roma kwa UJUMBE mzuri uliotulia
Tunahitaji wanamziki kama hawa akiungana na Mrisho MPOTO ujumbe watausikia tu watawala wetu

Last edited by a moderator: