Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wanawake wa tanzania sijui ni asilimia kubwa yani ukiwa na pesa ni kama wanaona ndio mtu sahii ijalishi umezalisha, baba wa familia, unamagonjwa na mengine.
Na kibaya zaidi kila mwanamke anataka kuwa na wewe sababu ya pesa zako.
Swala la kutongoza kusumbuana linakuwa sio ishu sababu pesa unazo.
Embu angalia maisha uliyonayo mfano wenye vipato vizuri unavo waona wanavokusumbua