Tanzania ndio ya mkia ukanda huu kwenye kufadhili kilimo

Tanzania ndio ya mkia ukanda huu kwenye kufadhili kilimo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukanda huu wa Afrika mashariki, Tanzania ndio ya mwisho imeshindwa hata na Burundi kwenye ufadhili wa kilimo, Rwanda ndio inaongoza ikifuatwa na Kenya.
Hizi taarifa ni kwa mujibu wa bunge la Tanzania

-----------------------------------------------------
Tanzania is lagging behind other East African countries in financing agriculture, Parliament was told on Tuesday.
The Agriculture, Livestock and Water Committee said that while Rwanda topped regional performance with 61 marks in implementing the Malabo Declaration, Tanzania scored 3.1. Kenya, Burundi and Uganda scored 4.8, 4.7 and 4.4, respectively. The Malabo Declaration is a set of goals aiming for a more targeted approach to achieving the agricultural vision for the continent, which is shared prosperity and improved livelihoods.
The committee also voiced its concern about what it said was an inadequate budget proposed for the Ministry of Agriculture despite the sector being the biggest employer in the country and a key pillar of the economy.
Although agriculture provided 65 per cent of industrial raw materials and employed 65.5 per cent of Tanzanians, it was not growing fast enough to meet the aspirations of a country that hopes to transform itself into a middle-income economy in the next few years, MPs said.

Tanzania trails in East Africa on agro financing
 
What... n still we have ample to feed Kenya! I wonder if that budget was equivalent to Kunyaland!
 
Unga wa Ugali Kenya ni kwa hisani ya wabongo
 
Tanzania haijawai kua bora kwa mambo ya msingi, We all know that.
True sisi ni kwenda mbele nyuma mbele,tatizo hatuna dira ya kitaifa, kila ajaye uanza na yake mapya mda hautoshi anaondoka bila kuyamaliza akiingia mwingine anajiona ana akili kuliko mtangulizi wake,anaanza na vyake,maendeleo tuwaachie wenzetu.
 
Unaongelea maendeleo gani wakati sgr, stirgliers, pipeline, barabara, airports, bandari, industries l etc vinajengwa kila kona ya nchi

Ulitaka maendeleo yapi?
 
Unaongelea maendeleo gani wakati sgr, stirgliers, pipeline, barabara, airports, bandari, industries l etc vinajengwa kila kona ya nchi

Ulitaka maendeleo yapi?
Ya watu sio ya vitu,hayo yanatija gani kuinua maisha ya watu wa chini mfano alie katavi,same au Pemba kwa uchache,
 
Unaongelea maendeleo gani wakati sgr, stirgliers, pipeline, barabara, airports, bandari, industries l etc vinajengwa kila kona ya nchi

Ulitaka maendeleo yapi?
amezungumzia dira ya Taifa kuelekea maendeleo, kitu muhimu sana PLAN!
 
Ya watu sio ya vitu,hayo yanatija gani kuinua maisha ya watu wa chini mfano alie katavi,same au Pemba kwa uchache,
Hahaha hivi upo seriously?

Huyo mkulima wa katavi atasafirishaje mahindi yake kuyapeleka Dodoma bila barabara ya lami?

Atapataje umeme wa kusaga mahindi yake auze unga bila stirgliers Gorge?

Atapataje Pembejeo za kilimo bila ufanisi wa bandari.?

Atapata vipi matibabu ya haraka asife njiani kwenye specialists hospital bila sgr ya kisasa?

Atanufaikaje na utalii kwa kuuza mbogamboga kwenye hotels za kutalii huko katavi national parks bila ndege kuwaleta hao watalii kwenye airport zolizoboreshwa?

Naweza kukufundisha hata mpaka kesho, ila una hasara kubwa
 
amezungumzia dira ya Taifa kuelekea maendeleo, kitu muhimu sana PLAN!
Dira ya Taifa ipo na dira yenyewe ni maendeleo tu ambayo ndio yanayotekelezwa awamu hii mambo yote hayo niliyoyasema ni maendeleo na ndio dira yenyewe ya Taifa.
 
Nimegundua hata humu jf wakenya wana akili kuliko wabongo,wabongo wao wanaandika mavi ya kuku tu wenzao wanaandika facts
 
Hahaha hivi upo seriously?

Huyo mkulima wa katavi atasafirishaje mahindi yake kuyapeleka Dodoma bila barabara ya lami?

Atapataje umeme wa kusaga mahindi yake auze unga bila stirgliers Gorge?

Atapataje Pembejeo za kilimo bila ufanisi wa bandari.?

Atapata vipi matibabu ya haraka asife njiani kwenye specialists hospital bila sgr ya kisasa?

Atanufaikaje na utalii kwa kuuza mbogamboga kwenye hotels za kutalii huko katavi national parks bila ndege kuwaleta hao watalii kwenye airport zolizoboreshwa?

Naweza kukufundisha hata mpaka kesho, ila una hasara kubwa
Hivo vitu sawa ni muhimu lkn,wanufaika wake hawazidi asimilia 10%,pia uchukua si chini ya miaka 30 ndo irudi gharama za hio miradi ili uanze kupata faida,watu wanataka basic need,watakula hivo vyuma? Ethiopia wanavo hivo tayari lkn vimeleta tija gani kwa wa chini,Maana ndo wanaongoza kuikimbia nchi yao,sababu chote kipatikanacho tokana na miradi uenda nje kulipia mikopo yenye riba, shida nyie wavaa vitenge nyie ni kusifu na kuabudu tu,
 
Back
Top Bottom