Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo Mkurugenzi NEC na timu yake ya kusimamia uchaguzi mkuu inateuliwa na anayegombea uchaguzi huohuo

Ndio maana sijawahi kupiga kura. Mimi ni bora mtu aniambie tuingie msituni kupinga huu upuuzi nitamuelewa ila eti nikapange foleni kupiga kura kwa katiba hii, huo ujinga siwezi kufanya
 
Ni ajabu kubwa!
 
Watanzania ndio wakulaumiwa kwa kulea huu ujinga.tumepandikizwa woga na ujinga na kibaya zaidi hata masisiemu yameshatujua hata yakifanya mabaya kiasi gani tunacheka na kushiriki kutumiwa tunaona ni sawa tu.
Unakuta kalani anaweka kura kwenye boksi unamuangalia tu anacheza na maisha ya wananchi.ifike mahali tukomeshe huu ujinga.kuna kituo kimoja cha kupiga kura nilikuta wananchi wamekataa kuonewa wanawaambia polisi pigeni mabomu na risasi mkituuwa kumi na sisi tutauwa watano
Mbona matokeo yalitangazwa bila kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…