Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Hali hii si ya kawaida, Mamlaka zinatambua, watu wameshuhudia Marehemu Kibao alivyokamatwa na kutokomea na gari lenye plate namba ambazo hata kama hazijulikaniki, ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi haraka.
Lakini mpaka sasa hakuna aliyefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumteka na kuhusika katika kifo cha Bwn. Kibao, Mamlaka zimerelax na watu wameshasahau na maisha yanaendelea as if hakuna kilichotokea!
Yule Mzee ana mke, watoto waliokuwa wakimtegemea, ndugu jamaa na marafiki, ambao wameachiwa uchungu mkubwa katika mioyo yao!
Je, watekaji ni kina nani?
Je,wameshakamatwa? au nani ameshafikishwa katika vyombo vya dola kwa uchunguzi?
Je, kuna kesi imeshafika mahakamani?
Je, gari na silaha zilizotumika ni za kina nani?
Je, familia ya Mzee Kibao imefarijiwa na serikali? Wamehakikishiwa usalama wao?