Tanzania ni kama familia iliyochukua mkopo bank kwa kuweka nyumba na kununua gari la kutembelea

Blesscountry

New Member
Joined
May 29, 2024
Posts
2
Reaction score
4
Please naomba soma uzi huu uku unamuangalia mwanao kama una mtoto.

Polen na majukumu uzi wangu huu unalenga kujaribu kuona kama Tunaweza jikomboa hata kwa fikra basi

Dhumuni la mm kutaka wewe usome huu zi uku unamuangalia mwanao ni kwamba wewe kama Baba jukumu lako ni kuish uku unaanda mazingira ya mwanao pale tu utakapo muachia kijiti so ombi langu kwanza kwenu ni muache fikra za kwamba Dunian tunapita kwamba sio makazi maalum huo ni uongo na mara nyingi tunajidanganya sababu tulidanganywa.

Acha leo niwaambie Dunia inaitaji kuheshimiwa ni kuiwekea mipango na kujua utaishije so wewe kama Binadamu hutakiw kufikiria miaka 50 utakuaje fikiria baada ya miaka elfu1 utakuaje unaweza ukawa umeshangaa why miaka 1000 jibu ni ndio uko sawa miaka elf moja sababu tukiacha uko mbele twendako nyuma tulipotoka ni Tayar tumesha kaa zaid ya miaka io so kwann nakwambia ufirie ivyo. Ni kwasababu wewe kama Baba unatakiwa ufukirie kizazi chako chote kitaishije na wewe ndio uanze mipango yako ya kufanikisha ilo usikae na kubweteka usubir rizk ikufate wewe sio ndege pia jua baada ya wewe hakuna atae muhurumia mwanao

Turud kwenye Mada kuu ya familia ilio weka mkopo nyumba na baadae kwenda kununua gar la kutembelea
Tanzania viongozi wetu asilimia kubwa ni watu ambao akili zao zinaiona miaka 50 mbele na sio zaid na wala hawajali fikiria viongozi wetu wanaingia mikataba mibovu alafu baadae wanakuja kusema ina faida yes ina faida lakin kwa kiwango gani.

Watanzania na nchi zingine za Kiafrika nawaambia bado tunacheza nawaambia tena kua nchi zetu za Afrika Baada ya miaka elf 1 mbele nchi zetu zote zitakuwa zimetawaliwa kwa namna ingine mpya ya mikataba na hii ndio itakua mbaya sana sababu baadae majeshi yetu yatatumika dhidi yetu sasa ivi ni ccm ndio wanayatumia baadae uko haya majeshi yetu yatakuja kutuua na kutuumiza sababu tu yatakua yanatimiza wajibu wake wa siku zote ila tutakao umia ni sisi
 
Naona hujui hata maana ya Id yako. nilitegemea ungemuunga mkono mtoa thread hii!
Mikopo wanaysaini marais wetu ina reflect sunk cost fallacy! sasa wewe unatetea nini?
Sijawahi unga mkono mada za kijinga,hizo watakuunga mkono Machadema wenzako
 
Kwani kama utatembelea Hilo gari kwenye ukaguzi wa Biashara Kuna tatizo?
 
Halafu nyumba na gari vilivyokopwa akapewa baba mkwe🙃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…