Na hata watalii wengi tunaojivunia si kweli wanakuja kushangaa wanyama wengine wanakuja kushangaa akili zetu!! Hawaamini kama kuna binadamu wasiojitambuaKutoka Maktaba!
Kwa jinsi alivyonuna hicho kitambulisho anaenda kutupaNdugu Sarah Lusobangeja anashikiria rekodi ya kuwa mwanadamu mwenye umri mkubwa zaidi kwa mujibu wa TUME YA UCHAGUZI, Sarah ana miaka 124 mpaka sasa na bado ni binti kabsa!
π€£π€£π€£π€£π€Hao jamaa waliokadiria huo mwaka wa kuzaliwa inaonyesha kwamba wanadharau sana. Ni kweli mtu hajui umri wake; je hata kuangalia sura wameshindwa?