Hahahaha, hahahaha, mimeipata hii?, majirani bado wanasubiri tuanguke barabarani waje kuokota maiti [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sio tu corona.... Ni mfano wa kupigwa zaidi kwa jinsi taifa lilivopambana kumuombea na kumchangia Tundu Lissu aliye pigwa risasi16 mpaka akapona. Mungu wa Tundu Lissu ndio Mungu wa corona ndio Mungu wa Tanzania.......