😂 😂 😂 😂 msijali wadau. akili zetu hapa tz tumepekua tukamkabidhi store keeper!! tatizo la kupumua ni corona lakini hatuwezi tukatamka mpaka mfalme wetu akubali kwanza!!Sisi hatujashikiwa akili kama nyie ambao mzungu akisema basi ni kama sheria. Sisi wataalam wetu wanajua kwamba changamoto ya kupumua haisababishi na uviko-19 pekee. Kuna magonjwa mengi sana yanayosababisha changamoto za upumuaji, na ndiyo maana ventilator hazijaanza kipindi cha uviko-19. zilianza muda mrefu. Ukitaka kujua magonjwa nitafute kwa muda wako.
Kwani hujapata update za leo?Kwa nini hamtangazi kama mashindano siku hizi?
Where on earth is John Konyagi Masolex?Reporters - Covid-19: The Swedish exception?
No face masks, no lockdown, no closure of restaurants or schools: the Swedish government relied on the Swedes' self-discipline to battle the Covid-19 pandemic. Most of them supported its decisions and…amp.france24.com
kamuulize mamaako!!Wher
Where on earth is John Konyagi Masolex?
kamuulize mamaako!!
Kuna tetesi kuwa tayari keshatangulia mbele ya haki. Ikiwa ni kweli, Mola ailaze roho yake mahali pema.
Don't kill the messenger.Wewe ni mchawi?
Kwa Nini unaendeleza tetesi ambazo hazina ushahidi, wakati mmoja kati ya viongozi wakubwa wa nchi amesema yuko salama na anaendelea kutimiza majukumu yake!!!?
Kati ya hizo tetesi na kauli ya waziri mkuu, nani wa kuaminiwa?
So you are here spreading the rumours?You're fighting the wrong person here!
Ungeenda hio twitter and prove the naysayers wrong!! Ni Mtz mwenzako katweet hilo! Si Mkenya!
Don't kill the messenger.
Mbona hili jambo ndogo tu? Rais ajitokeze tu na taharuki iwaishie.
Rais ni taasisi. You have a right to know about his wellbeing, sio Waziri Mkuu kusimama na kusema eti yuko mahali anaendelea na majukumu yake! Wapi? Yupo na nani?
Hahahaha, watu wapumbavu kama ninyi ni wivu ndio unaoongoza akili zenu.Kuna tetesi kuwa tayari keshatangulia mbele ya haki. Ikiwa ni kweli, Mola ailaze roho yake mahali pema.
Huyu ni rais wetu, ninyi hamuhusiki na lolote kuhusu rais wetu, sisi mfumo wa utoaji taarifa kwa wananchi ni tofauti na kwenu, tumeridhika na maelezo ya Prime Minister, wewe ni nani kutupangia jinsi ya kuongoza nchi yetu?, haiwezikani hata siku moja adui yako namba moja kukupangia njia bora ya kuishi.Don't kill the messenger.
Mbona hili jambo ndogo tu? Rais ajitokeze tu na taharuki iwaishie.
Rais ni taasisi. You have a right to know about his wellbeing, sio Waziri Mkuu kusimama na kusema eti yuko mahali anaendelea na majukumu yake! Wapi? Yupo na nani?
Mkuu, hivi karibuni tutajua mpumbavu ni nani. Yetu macho.Hahahaha, watu wapumbavu kama ninyi ni wivu ndio unaoongoza akili zenu.
Hii sio mara ya kwanza kwa wakenya kuvumisha mambo mabaya dhidi ya Tanzania, ninyi mko na wivu sana, sasa hivi Tanzania na Magufuli ndio gumzo duniani, mnapatwa na wivu mkaona bora kupenyeza jina la Kenya kupitia kwa Magufuli ili Kenya nayo Iwe gumzo. Hivi kwa akili yako Magufuli anaweza kwenda kutibiwa nje ya nchi, hata Europe hawezi kubali, vipi akubali kuja Kenya ambako Hospital zake zinazidiwa na Tanzania?Mkuu, hivi karibuni tutajua mpumbavu ni nani. Yetu macho.
Nitaregea apa. Nitakukumbusha haya [emoji2]
As usual, making it a Tz vs Ke affair!Hii sio mara ya kwanza kwa wakenya kuvumisha mambo mabaya dhidi ya Tanzania, ninyi mko na wivu sana, sasa hivi Tanzania na Magufuli ndio gumzo duniani, mnapatwa na wivu mkaona bora kupenyeza jina la Kenya kupitia kwa Magufuli ili Kenya nayo Iwe gumzo. Hivi kwa akili yako Magufuli anaweza kwenda kutibiwa nje ya nchi, hata Europe hawezi kubali, vipi akubali kuja Kenya ambako Hospital zake zinazidiwa na Tanzania?
Ninyi wakenya ni wapuuzi sana, ona jinsi mnavyosambaza ujinga mitandaoniAs usual, making it a Tz vs Ke affair!
Choose your battles wisely, Sir!
Wanaoposti habari hizi ni Watz wenzako mle Twitter. Fika huko waambie wanapotosha.
According to stupid Kenyans like you, is already dead in Nairobi, pumbavu sana ninyi.
Mkuu, hivi karibuni tutajua mpumbavu ni nani. Yetu macho.
Nitaregea apa. Nitakukumbusha haya 😃
As usual, making it a Tz vs Ke affair!
Choose your battles wisely, Sir!
Wanaoposti habari hizi ni Watz wenzako mle Twitter. Fika huko waambie wanapotosha.