Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Naaza kuchangia mada kwa kuangalia Ugiriki ambayo hivi karibuni ilikuwa kwenye mgogoro mkubwa na EU baada ya kuwekewa mashart magumu ya kubana matumizi ili wapewe pesa za kujinusulu kiuchumi na EU. Kwa mujibu wa vyombo vya habari na takwimu hali ilikuwa mbaya sana lakini pamoja na kuwa mbya sana bado ilikuwa tajiri sana ukilinganisha na sisi. Watanzania katika dunia hii ya ushindani sisi tuko wapi? Inamaana sisi tumekwisha kabisa kifedha ndio maaana huduma za jamii ni mbovu
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
Sent from my BlackBerry using JamiiForums