P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Tangu uhuru, Tanzania imekua na Viongozi wengi ambao si wajenzi wa taifa, ni wasuluhishaji wa MATATIZO ma mambo kisiasa na kuacha mianya kesho mwingine aje ale.
Barabara zinajengwa hazimalizi hata decades zinabomolewa, masoko, airport mbali mbali, mahospital, mifumo ya maji na umeme, maswala ya vitambulisho, elimu zetu, makazi na maeneo mengi.
Watanzania psychologically hawajui kama kesho nyumba Yao itakuwepo au serikali itanunua eneo, hawana Uhakika na Bei ya sukari, hawana Uhakika na vivuko, Bei ya mafuta, Bei ya unga, hawana Uhakika wa mikopo ya chuo, elimu Bure. Kila kitu kimekua politicized. Ajali Kariakoo na ajali nyingine nyingi ni matokeo ya sera mbovu maamuzi mabovu.
Barabara nyingi zinajengwa au kurekebishwa na kesho zinabomolewa Tena. Hakuna kitu kilicho permanent in Tanzania. We waste a lot of money on repairing than building for future generations. We always in projects ambazo zilifanywa vibaya na predecessors.