YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja.
Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na wapangaji.
Kila mtu huota kujenga fremu za kupangisha lakini hajui hata wapangaji atawapata wapi wala vipi.
Tanzania ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na fremu nyingi za biashara zisizo na wapangaji.