Kuna baadhi ya maeneo fremu n ni bonge ya dilii....
Umenikumbusha kitu sitaki kukumbuka..
Juzi kuna sehem hapa kitaa jamaa alikua anahama, akawa anahamisha dhana ile asubuhi,
Nikapita nikamuuliza hii frem ishabookiwa? Aksema hapana waweza book, nikapita nikasema jioni narudi kuongea biashara...
Narudi nakuta mtu anafuta maandishi ya
'INAPANGISHWA' anasema ile sijamaliza neno .....SHA watu washa jaa...
Battle ikaja nani achukue, muuzaji akakaa pembeni, matokeo yake bei aliyopanga kuiuzia/pangisha ilienda mara mbili na nusu...bila yy mwenyewe kupandisha...
Hamna kitu najuta km kilee, alikua ananiachia kwa beiya kawaida sanaaa....