Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

Mi naona ni mgawanyiko wa majukumu tu huku ktaaa wew jenga then kuna watu kazi yao kutafuta hao wapangaji
 
Wazungu wanalima nyanya ,na mboga kwenye makopo wewe una plot sqm 1500 unaziangalia tu huku unaenda kununua mboga sokoni, pumbavuuu in Ray Kigosi voice
 
Mie mbele eneo lililobak unaweza weka frem hata 8! Lakini kila mtu akija anakuambia weka frem[emoji1787]nawaambia za nn huku jaman..kumepoa unamwekea nan frem..mwingine anakuambia toa maua ww lima mahindi[emoji1787][emoji1787]!cha!...
Waafrika ndivo tulivyo, tuna hii kitu vichwani mwetu inaitwa 'survival mindset' yaani karibu kila kitu kinachotuzunguka tunatamani tukitumie ili kitupunguzie ukali wa maisha.

Si ajabu ukakuta nyumba yenye thamani zaidi ya millioni 200 ukakuta imeandikwa nje 'tunauza ice cream za shillingi 50'
 
Wazungu wanalima nyanya ,na mboga kwenye makopo wewe una plot sqm 1500 unaziangalia tu huku unaenda kununua mboga sokoni, pumbavuuu in Ray Kigosi voice
Kila mtu akilima mkulima anayetegemea kilimo.tu atakosa soko
 
Uko sahihi ziko kibao zinauza Hadi ubuyu na karanga za Mia mia
 


Umesema kilicho moyoni mwangu!hahhha...! Juu umeweka bati nzuri lakini unaandika tunauza maji!🤢
 
tatizo hawapunguzi Bei,wako radhi frame ikae miaka kumi bila mpangaji kuliko kuamua kushusha Bei na kupata mteja,
Mleta maada anamaanisha hivyo kwamba Hawa watu hawafuati principle za biashara,Demand,Supply,Price
Msomaji wa comment nimekuelewa kuliko mtoa mada.
 
Biashara za sasa kinachotakiwa ni mtaji Mkubwa, kuzalisha kipato kidogo. Kama mtaji ni mdogo utazalisha kidogo ukiangalia vibaya hadi kodi ya Nyumba itakosa.

Ukubwa wa mtaji inategemea eneo na aina ya biashara bila kusahau matumizi ya muhusika.

Kuna eneo mtaji wa mil.100 unakuwa mdogo, kuna eneo mtaji wa mil.2. unakuwa ni Mkubwa.

Hakikisha unazalisha ziada. Cash inatumika inaisha, ukiwa na biashara unatumia Faida. Biashara lazima ifanyike no matter what.

Fremu Zako
Waliowengi mitaji tulionayo ni midogo. Kipato kinakuwa kidogo ,huwezi kuongeza presha ya KODI . pia mzunguko sio mzuri.
 
Fremu Zako
Waliowengi mitaji tulionayo ni midogo. Kipato kinakuwa kidogo ,huwezi kuongeza presha ya KODI . pia mzunguko sio mzuri.
Fremu unaenda nje ya mji hata watu hamna mwenyewe anakwambia Kodi laki na nusu na lazima ulilipe kwa mwaka!!!!! Unashangaa!!!! Eneo pori tu watu ndio kwanza wanajenga mmoja mmoja kwa mbaliiii .Lakini mwenye fremu kakomaaa tu Kama mwehu hata hajiongezi kujua mazingira
 

Nimecheka khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti tunauza ice cream hahha tumekuwa wajasiriamali
 
Kiongozi, tatizo ni kwamba hatufanyi utafiti wa aina ya biashara, ifanyike wapi, wateja nk.
Mmoja akifungua biashara fulani, ndani ya muda mfupi watu wengine kumi watafungua biashara aina ile ile sehemu Ile Ile kwenda kugombania wateja wale wale. Matokeo yake, nyingi au zote zitakufa.
Angalia ukulima wa nyanya hadi zinaachwa ziozee shambani. Tatizo ni timing. Nyanya huadimika wakati wa masika. Ufumbuzi ni green house
 
Fremu ya Laki nusu mtaji ukiwa mdogo usipungue m10. Afu unakopa 3bank inakuwa 13m.
Pia eneo liwe linaeleweka kiasi.
 
Fremu ya Laki nusu mtaji ukiwa mdogo usipungue m10. Afu unakopa 3bank inakuwa 13m.
Pia eneo liwe linaeleweka kiasi.
Tatizo la Wenye fremu kuweka Bei unrealistic utasikia ohhh nimejenga hizi fremu kwa shida Sana.Kwa hiyo mihasira yake anaipeleka kwa mpangaji bila kujali laws za demand ,supply na price.Matokeo yake mpangaji anazira na kumwachia mifremu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…