Tanzania ni nchi tajiri ya 'wanasiasa malaya'

Good! Acha chujio lipite, tuone makapi!
 
Tena mtu anaitwa mchungaji kumbe ni ndumilakuwili. Kwa mujibu wa biblia huyu mtu hafai kuwa mchungaji. Ndio maana siwaamini wapinzani maana wengi wananunulika kwa shekeli.
Ogopa hawa wachungaji walio kwenye siasa.
 
Ntaisoma nikitulia hii .
 
Hapo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…