View attachment 107734 View attachment 107735View attachment 107736
Hivi inawezekanaje hasa hadi majirani zetu watuchezee namna hii? A Kenyan tea, halafu inaitwa Tanzania, pamoja na ramani ya Tanzania na twiga ambaye ni alama ya Tanzania? Hivi kweli hawa wenzetu wanaweza kuuza bidhaa zao kwa kutumia vivutio vyetu kwa style hii? I once saw a Kenyan Coffee with a name Kilimanjaro, nikashangaa sana, sasa naona wamevuka mipaka hadi kuziita product zao kwa jina la Tanzania.
Nchi iko katika auto pilot toka Jakaya aingie madarakani. Hatuna mawaziri zaidi ya Magufuli na Mwakyembe, sasa tutegemee nini?
Wasomi wa Tanzania wakishakuwa mazezeta,si watu wote wanahesabika hivyo?Wanaofanya hadi nchi hii kusema ni ya mazezeta wanajulikana nafikili wao ndo ungesema mazezeta kuliko kusema nchi yote kiujumla, maana mimi mwananchi wa kawaida nitafanyaje kama wahusika wa kushugulikia hili wapo na hawatekelezeji wajibu wao.
Wanaofanya hadi nchi hii kusema ni ya mazezeta wanajulikana nafikili wao ndo ungesema mazezeta kuliko kusema nchi yote kiujumla, maana mimi mwananchi wa kawaida nitafanyaje kama wahusika wa kushugulikia hili wapo na hawatekelezeji wajibu wao.
...kwani ishu ya wanyaruanda imeisha, tulikuwa bize kidogo mazee...
View attachment 107734 View attachment 107735View attachment 107736
Hivi inawezekanaje hasa hadi majirani zetu watuchezee namna hii? A Kenyan tea, halafu inaitwa Tanzania, pamoja na ramani ya Tanzania na twiga ambaye ni alama ya Tanzania? Hivi kweli hawa wenzetu wanaweza kuuza bidhaa zao kwa kutumia vivutio vyetu kwa style hii? I once saw a Kenyan Coffee with a name Kilimanjaro, nikashangaa sana, sasa naona wamevuka mipaka hadi kuziita product zao kwa jina la Tanzania.
Andamana!! Haya mambo mwenye nguvu ya kuyabadilisha ni mwananchi. Wazir akiwa ni boya, basi mtegemee kwamba yeye atawabadilishia mambo. Na wakati mwingine si rahisi kwa waziri kujua kila kinachoendelea. Na hasa ukizingatia kwamba idara ya usalama wa taifa imegeuka NGO ya watu fulani. Wananchi ndiyo tunatakiwa tuone haya na kuyapigia kelele. So tumeona, ni wajibu wetu kuandamana sasa kuyapinga.Wanaofanya hadi nchi hii kusema ni ya mazezeta wanajulikana nafikili wao ndo ungesema mazezeta kuliko kusema nchi yote kiujumla, maana mimi mwananchi wa kawaida nitafanyaje kama wahusika wa kushugulikia hili wapo na hawatekelezeji wajibu wao.
Tanzania ina kahawa nzuri sana, ina chai nzuri sana! Chai bora na kilimanjaro tea kwa mfano ni product ambazo zina ubora wa hali ya juu. Lakini tatizo la wabongo, hatuna hata muda wa kuzimarket kimataifa. Zinauzwa Dar es salaam tu. Hawa wenzetu wanakuja kubeba chai yetu bongo kwa bei nafuu, wanaipaki upya na kuiita chai ya Kenya au kahawa ya Kenya. Kenya hawakuwahi kuwa na kahawa nzuri kama ya Tanzania. Tuna bahati mbaya tu kwamba watanzania uzalendo hakuna wote tu ni mazezeta. hakuna hata mmoja anayesikia kuumizwa na yanayoendelea. Wewe na mimi ni mazezeta tu, unless we are able to change!si busara hata kidogo kutuita mazezeta, ungewaita waliokabidhiwa dhamana kuwa ni mazezeta, sio vinginevyo. ss sio mazezeta na hatutakuwa mazezeta ndio maana hata ww umeona kuwa ni kitu cha aibu sana
kibiashara wanaitangaza TZ siku tutakapoacha ufisadi na kuzlisha kahawa yetu tutakuwa maarufu kuliko kenya yenyewe