Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
FcyBq2vX0AAdE9W.jpg

Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha.

Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza watanzania bali kuwainua mungu aendelee kumuongoza Rais wetu mpendwa
 
Mleta mada hivi wewe una gari au unacho chombo cha usafiri??
Umeanza kumiliki lini?
Unadhani bei rahisi kwa muktadha huu itakuwa inamaanisha nini?
Kiongozi naomba ujue tozo ndio imetufikisha hapa huko sokoni bei wala sio hii
 
View attachment 2359663
Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha.

Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza watanzania bali kuwainua mungu aendelee kumuongoza Rais wetu mpendwa
Huwezi jiita Nyabukika ukawa na akili timamu, ni huenda ulipata utapiamlo ukiwa mdogo ukaathiri mfumo mzima wa akili. Itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu
 
View attachment 2359663
Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha.

Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza watanzania bali kuwainua mungu aendelee kumuongoza Rais wetu mpendwa
Kwani si mlishasema Tanzania ina mafuta ya bei raisi kuliko USA na SAUDI? Hii ya Africa Mashariki vipi tena?
 
View attachment 2359663
Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha.

Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza watanzania bali kuwainua mungu aendelee kumuongoza Rais wetu mpendwa
So what, ongelea pia vipato vya watanzania kt tathmini yako bubusa ndio utajiona fala aka farasi
 
View attachment 2359663
Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha.

Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza watanzania bali kuwainua mungu aendelee kumuongoza Rais wetu mpendwa
Haya ni mapandikizi kt mitandao ya kijamii ili kulamba viatu vya maza katiri
 
Hii recruitment ya watu wa propaganda safari hii sijui chama kimewatoa wapi 🙁🙁, wote wanajenga hoja kama wendawazimu kama yule mwenye tai na kikoi cha bendera ya taifa.

Sasa nyie na madelu ndo mmeonekana washauri competent, huyo anayeshauriwa atakuwa na hali gani?
 
Ni kweli Tanzania bei ya mafuta iko chini ikilinganisha na nchi nyingi za E/Africa. Bila shaka ruzuku imechangia sana, na Labda pengine kung'ang'ania tozo ni kufidia hiyo ruzuku!!
 
kweli Bil. 100 za ruzuku kila mwezi zimetusaidia sana
 
Hii recruitment ya watu wa propaganda safari hii sijui chama kimewatoa wapi 🙁🙁, wote wanajenga hoja kama wendawazimu kama yule mwenye tai na kikoi cha bendera ya taifa.

Sasa nyie na madelu ndo mmeonekana washauri competent, huyo anayeshauriwa atakuwa na hali gani?
acheni kuponda kila kitu bila zile Bil. 100 ata daladala zingekua buku hakuna cha propaganda apa ila huu ndio ukweli
 
Haya ni mapandikizi kt mitandao ya kijamii ili kulamba viatu vya maza katiri
Unajua wabongo tunatabia ya kuzoea kulalamika ata kama kitu umeona na kuelewa
Rais Samia Suluhu amefaikisha kupunguza bei za mafuta kwa kutoa Bil 100 kila mwezi uko kenya mmeona bei ya mafuta ilivyo? au kulalamika ni jadi yetu
 
acheni kuponda kila kitu bila zile Bil. 100 ata daladala zingekua buku hakuna cha propaganda apa ila huu ndio ukweli
Kwani 100B ni za nani? Zimetoka kwa Samia? Ni za samia na madelu? Mbona unaongea as if ni favour ?
 
Unajua wabongo tunatabia ya kuzoea kulalamika ata kama kitu umeona na kuelewa
Rais Samia Suluhu amefaikisha kupunguza bei za mafuta kwa kutoa Bil 100 kila mwezi uko kenya mmeona bei ya mafuta ilivyo? au kulalamika ni jadi yetu
Haya maneno ya kujikombakomba sidhani sana kama yana msingi, kama anataka kumsaidia mwananchi afute au apunguze tozo.Simple
 
Kwani 100B ni za nani? Zimetoka kwa Samia? Ni za samia na madelu? Mbona unaongea as if ni favour ?
it's favour Bila Rais kuja na ilo wazo ungenunua mafuta elf 10 si ndo mngelalamika mpaka basi mama ameupiga mwingi bana kama kitu kizuri acheni tuseme
 
Back
Top Bottom