Aliomba kazi kuja kufanya favour? Unajua favour ni via viashiria vya takrima? Kwa hiyo unatuhabarisha Rais anajihusisha na takrima? Unajua kisheria Rais hatakiwi kujihusisha na takrima kwa namna yeyote ile?
Mleta mada hivi wewe una gari au unacho chombo cha usafiri??
Umeanza kumiliki lini?
Unadhani bei rahisi kwa muktadha huu itakuwa inamaanisha nini?
Kiongozi naomba ujue tozo ndio imetufikisha hapa huko sokoni bei wala sio hii
Bila Ruzuku ya Bil 100 kila mwezi watu wegi wangeshindwa kuendesha magari aisee lakini mama anajua vipato vya wanananchi wake ndio maana ametupuguzia gharama za maisha
Nafikiri ingekuwa vizuri zaidi angepunguza kodi kwenye mafuta ,ingeweza kuwa suluhisho la kudumu kuliko
Kutoa ruzuku ambayo amekusanya kwa wananchi walewale
Inakuwa kama maigizo