N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua.
Kwa ufupi tunapeana burudani ya kutosha humu online. Nadhani zile takwimu za kuwa hatuna furaha sasa ziwe reviewed tuwemo kwenye orodha ya top ten ya mataifa yenye furaha.