Tanzania ni nchi yenye furaha sana

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua.

Kwa ufupi tunapeana burudani ya kutosha humu online. Nadhani zile takwimu za kuwa hatuna furaha sasa ziwe reviewed tuwemo kwenye orodha ya top ten ya mataifa yenye furaha.
 
Dah kwanini ulibadilisha avatar picha yako yenye umbo kama taqoh
 
Huku J2 tukijiandaa kwenda kupiga Shangwe za 'Corona day'.
 
.

Jr[emoji769]
 
Kuwa na stress ni kujiamulia mwenyewe tu hata kwani hata hotuba za mkulu zinatosha kuondoa stress .
 
kuwa mtanzania tu yaani ni furahaaaaa
hureeeeeee
 
MATAGA utakuwa umedata, msilazimishe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…