echuma
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 311
- 80
Nchi ya Tanzania ni sawa na Marekani( sio kiuchumi japo inawezekana) najaribu kujenga hoja binafsi wanaoniunga mkono karibuni na wanaonikosoa pia karibuni.
Kihistoria kabla ya wazungu kwenda bara la Amerika kulikuwa na wahindi wekundu ambapo bara hili liligunduliwa na Bw Christopher Columbus.
Kipindi cha utumwa Uingereza walikuwa wanaongoza kwa kushikilia makoloni mengi kuliko taifa lingine hivyo walikuwa na watumwa na watu wengi nchini kwao kutokana na idadi hyo kuwa kubwa wale waharifu walioshindika walikuwa wanapelekwa huko (marekani) kama adhabu, pia kilivyofika kipindi cha kufuta utumwa kulikuwa na waafrika wengi ambao walikuwa wameelika kipindi hicho muingereza kwa kuogopa kuwarudisha Africa alijua wakirudi watawaelimisha na wengine hivyo nao pia akawapeleka huko Marekani ambao ndio tunawaona leo (black Americans) wakaanzisha taifa lao la watu wakorofi na wenye akili ambapo leo hii ndio taifa lenye nguvu kubwa.
Kwa upande wa Tanzania hakuna historia inayosema kabla kulikuwa na watu wa kabila gani ila ni inaonyesha imeundwa kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe katika kupanua makoloni,inavyoonekana ilikuwa kila kabila lilitokea upande wake na likifika sehemu wakapumzika na kutulia basi panakuwa pa kwao mfano wangoni hao asili yao ni south africa na makabila kama wasukuma ukienda malawi utakuta vivyo hivyo matamshi na maana japo hawaitwi wasukuma hivyo ndivyo likaanza kuzaliwa taifa la Tanzania baadae bila kumtambua mwezako wakaja waarabu ambapo wakatuia sawa hill kutokana na kutofautiana ndimi na matamshi tukawa tunafeli na kila mtu anasema lake ikawa ni kuigana ukinifanya nitumia neno lako mapema nikalizoea basi ndio linapita ila kwavile waarabu ndio walikuwa wanauwezo hvyo maneno mengi yalitoka kwao vivyo hivyo wareno na hata waingereza wametuachia msemo tunasema tunatohoa na baadhi ya maneno hayapo kabisa katika lugha ya kiswahili sababu kulikosekana nani mwenye nguvu ya kutukaririsha wengi hivyo ndivyo taifa la Tanzania likatokea.
Kutoakana na maelezo ya hapo juu vitu ambavyo vinafanana ni pamoja na nchi zote mbili zinakalia ardhi isiyokuwa ya kwake,Kwa sababu ni nchi zenye watu wa makabila mbalimbali hawaongei lugha fasaha( marekani wanakiingereza chao tofauti na cha Waingereza japo wanasikilizana na Tanzania tunakiswahili chetu tofauti na nchi zingine wanaotumia kiswahili),Nchi zote zina watu wenye akili sana.
Ndio maana hata kampeni ya vazi la taifa inapata shida sababu sio watu wa kabila moja ni zaidi ya makabila 120 ambayo yanamavazi yao ya kimila lakini wameyaacha kutokana na utandawazi na ukoloni hvyo kila mtu atachagua kinachoendana na asili yake sababu asili ya mtu haimtoki( my take: wachague wenyewe halafu walitangaze tufanye kama limepitishwa tu bila kujadiliwa ila kila mtu aliheshimu)