Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Unaifahamu maana ya kichwa cha mwendawazimu ?Hadi comoro, si huko yanga anaendaga kupiga kumi jamani? So national team yao iko juu yetu
MfafanulieUnaifahamu maana ya kichwa cha mwendawazimu ?
Hadi Burundi imetupita afu S Sudan anaipumulia Tz kisogoni tooo sad.Habari wana JF,
Nimeiangalia ranking list (viwango vya Ubora : FIFA) kwa nchi za Africa (CAF) nikajiuliza kwa sauti kama sasa Tanzania inashika nafasi ya 48 kati ya wanachama wote 54 wa CAF; Je tunastahili kuwa hapo tulipo? Je nini kifanyike kujikwamua.
Ahsante
View attachment 487947
Source : The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - African Zone - FIFA.com