drink beer to save water... mtera inakauka jamani
serikali inachojua ni kuongeza bei ya bia tu , siipendi sisiemu ha ha ha ha lol... badala ya kupandisha miraba ya madini, wao wanafikiria kupandhishia bei ya bia ili wapate pesa ya kulipa walimuthats gud, I like it!
Wakati tunalalamikia ugumu wa maisha kwa walio wengi, nchi hii ni ya 6 kwa soko la bia katika Afrika. soma habari hii hapa: http://dailynews.co.tz/index.php/biz/8519-dar-is-africa-s-6th-biggest-beer-market