Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
What of the value of the projects?The issue should not be the number of project but it's overall implementation i.e. how much of those projects r proper executed!
Tanzania projects total Value is $60B, while Kenya is only $36B, that means per each project in Tanzania values twice of that in KenyaWhat of the value of the projects?
Hii ni kweli kabisa $60.3bn zimeingizwa kwenye uchumi, matokeo yake tutakuja kuyaona 2023 huko.Tanzania’s total share of projects by value is 41.2% (US$60.3bn),
Ukiondoa project mbili ambazo ni ''project hewa'' ($40b) tunabaki na $20b.Hii ni kweli kabisa $60.3bn zimeingizwa kwenye uchumi, matokeo yake tutakuja kuyaona 2023 huko.
Hehe apart from sgr,stng.george(hydro) ni mradi mwingine gani umepita $1bn?? Miradi ambayo iko u/c Tanzania haiwezi pita $10bn kama unabisha twende kazi tukihesabu...Hii ni kweli kabisa $60.3bn zimeingizwa kwenye uchumi, matokeo yake tutakuja kuyaona 2023 huko.
60bn na miradi mingine bado ni hewa,ebu nipe picture za($30bn) LNG plant ambayo mnazi dua tangu enzi za kikwete[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani mwandishi wa hi blog hajui kitu anasemaTanzania projects total Value is $60B, while Kenya is only $36B, that means per each project in Tanzania values twice of that in Kenya
Ok.Tanzania huwezi kufananisha na Kenya kwa ukubwa na investment kwenye infrastructures. Lets bee serious a bit.
- Bandari (Dar, Mtwara, Kigoma, Katavi)Hehe apart from sgr,stng.george(hydro) ni mradi mwingine gani umepita $1bn?? Miradi ambayo iko u/c Tanzania haiwezi pita $10bn kama unabisha twende kazi tukihesabu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sote tunajua SGR yenu imekwama ns bado km100 zimewashinda.Kenya zaidi ya Lamu Port ambapo serikali yenu ilitoa $500M, na SGR ambapo sasa hivi mradi umesimama hakuna pesa, tajeni ni mradi gani ambao upo U/C wenye thamani ya zaidi ya $500M
1)Hydroelectric dam $3BHehe apart from sgr,stng.george(hydro) ni mradi mwingine gani umepita $1bn?? Miradi ambayo iko u/c Tanzania haiwezi pita $10bn kama unabisha twende kazi tukihesabu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani tz huwa nyuma aje? Interchange moja imewashinda kumaliza ilhali hapa Kenya zipo Kila Kona ya Nchi...Mambo ya interchange tunawachia tz ikabiliane na Nakuru.- Bandari (Dar, Mtwara, Kigoma, Katavi)
- Meli mpya (Ziwa Victoria na Nyasa) na uboreshaji wa zile za zamani
- Hospitali 97 na zahanati 350 pamoja na vifaa (MRI, CT scan n.k)
- Ndege 11 (Dreamliner, Airbus etc)
- Maji (mf. kuvutwa kutoka ziwa victoria kwenda Tabora na miradi mingine ya maji nchi nzima)
- Rada nne (Dar, Kilimanjaro, Songwe, Mwanza)
- Ujenzi wa Mahakama nchi nzima
- Barabara ( Nchi nzima)
- Ubungo interchange,
- Ukarabati wa reli ya zamani (MGR)
etc
Miradi yote umetaja inangoja mkopo was world Bank iweze kuzinduliwa Tena.1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M
Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Umeshaandaa Passport?Sote tunajua SGR yenu imekwama ns bado km100 zimewashinda.
1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M
Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Acha uzwazwa wewe, huyo muandishi amejumlisha na miradi mengine ambayo haijaanza kama vile mradi wa gesi $30B, na bomba la Uganda $4.5B, Mimi nimeweka ile ambayo ni U/C tena sio yote.Proof (if ever anyone needed one), kuwa mtu hawezi kuwa apologetic wa ccm hii ya Magufuli kama anatumia akili yake ni hii post.
Ni muimba mapambio pekee ambae anaweza kujumlisha positive figures 11 tofauti ikiwemo 160B halafu total figure ikawa 8.3M.