Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga.
Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani, Yanga tu ndiyo wanaonekana. Hawana wasiwasi kabisa na mechi ya leo. Tanzania nzima naambiwa hali ni hii hii. Na kibaya zaidi uongozi wa Simba umegoma kujihusisha na ushirikina wowote.
Viongozi wanasema mpira ukachezwe uwanjani. Na wamesisitiza watapita lango kuu na kila kitu watafanya kama inavyopaswa kuwa.
Yanga mapema tu huu mchezo wameshinda. Bila longolongo kabisa. Daima mbele nyuma ni mwiko.