Tanzania nzima hofu imetawala Simba SC, mtaani hawaonekani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga.

Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani, Yanga tu ndiyo wanaonekana. Hawana wasiwasi kabisa na mechi ya leo. Tanzania nzima naambiwa hali ni hii hii. Na kibaya zaidi uongozi wa Simba umegoma kujihusisha na ushirikina wowote.

Viongozi wanasema mpira ukachezwe uwanjani. Na wamesisitiza watapita lango kuu na kila kitu watafanya kama inavyopaswa kuwa.

Yanga mapema tu huu mchezo wameshinda. Bila longolongo kabisa. Daima mbele nyuma ni mwiko.
 
Hivi kumbe leo simba tunacheza na yanga? Game saa ngapi?
 
Air Manula yatunguliwa na Kombora la Aziz Key.
 
Jaribu kushirikisha ubongo wako kabla hujapost kitu humu.
 
Wewe tu ndiyo huwaoni. Kamuone daktari wa macho au una upofu wa rangi (nyekundu).
 
Ule wingi wa mashabiki wa Simba zaidi wa wa Yanga pale uwanjani ni dhahiri walioogopa hata kufika uwanjani wanajulikana.
 
Ule wingi wa mashabiki wa Simba zaidi wa wa Yanga pale uwanjani ni dhahiri walioogopa hata kufika uwanjani wanajulikana.
 
Epuka kuonesha waz waz kiwango chako cha UBWEGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…