Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

Kwa hiyo uliamini takwimu za kupika na taarifa za magumashi kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati? Kwa nini usijishughulishe kidogo kutafuta ukweli wa takwimu, taarifa na maarifa?

Hivi unajua kuwa dikteta Adolf Hitler alifanya "maendeleo" makubwa sana Ujerumani miaka ya 1930 kuliko haya ya dikteta uchwara mnayoyaimbia? Sasa kama kupeleka huduma rahisi kama maji (ambao ni ushahidi mwingine wa ubovu na ufisadi wa CCM kwa miaka yote), angefanya maendeleo ya kweli si mngemwabudu? Lakini kwa nini Hitler anatajwa kuwa miongoni mwa watawala na watu waovu katika historia ya ulimwengu huu.....kama vile Nimrod, Antioch, Nero, Julius Cesar na wenzao? Katika nchi inayojitambua, yenye utawala wa Sheria, kupeleka maji ni kazi ya Diwani au Mbunge, na haitopigiwa mwingi.

Tambua: Juhudi au harakati zozote za kujaribu kumsafisha au kumsifia hayati Magufuli tayari zimeshindwa na zitaendelea kushindwa maradufu kila uchao, maana uongo hauwezi kuushinda ukweli, na dhuluma haiwezi kuishinda haki, NEVER!
Mapambio yenu yataendelea kumfifisha na kumfedhesha hayati Magu, yaani hata mje na gia gani au hadithi za namna gani; ukweli unabaki kuwa hayati Magufuli alikuwa rais na mtu alikuwa mwovu, katili na mbovu katika historia ya Tanganyika na Tanzania.
 
Mnaweza nishinda kwa kubwajaja hapa JF ila barabara, umeme, meli za kisasa, bandali, reli, bwawa la Nyerere vinaongea.
 
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu. Kama hujui kitu ni bora ukae kimya usizungumze kwa hisia zako kwasbbu ya chuki.
 
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu. Kama hujui kitu ni bora ukae kimya usizungumze kwa hisia zako kwasbbu ya chuki.
Mkuu, kama unathibitisha mimi sijui kitu ni bora ukaweka ubaoni hicho kitu mbadala ambacho wewe binafsi unahisi kinakosekana katika bandiko langu. Nasimama ili kukubali ukweli wa kukosolewa kupitia hoja makini, uwanja ni wako kwa hilo [emoji123][emoji106][emoji112][emoji112]
 
Upuuzu mtupu! Magufuli atakumbukwa na misukule yake tu aliyoiacha kama mtoa mada. Hayo maji aliyopeleka Tabora yako wapi?
 
Magufuli anachukiwa na watu wachache sana hapa duniani, niamini mimi bro. Fanya research mkuu. Wanaomchukia ni kikundi cha watu wachache sana ambao wako JF, twitter na Ufipa basi.
Watanzania hawajawahi kuwa na chuki dhidi ya marehemu yeyote yule.

Ukibisha hudhuria misiba mingi uwezavyo.
 
Alimuua nani kwenye familia yako?
Alimuua Ben Saanane, Azory Gwanda, na wale aliokuwa anawatupa kwenye viroba baharini.

Mwendazake aliua na wakazi 340 wa wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji
 
Unalia kila mara, wewe unawaza kwa muda mchache sana. Pole
 
Yaani dunia ya wajinga ni kubwa klk ya werevu, zaidi ya miaka sitini ya uhuru kuna nchi watu wake wanawaza bomba la maji. Na kuyapata ni pongezi kwa aliekucheleweshea
 
Ishukuru CCM kwa kukufanya Masikini, na kukupa Elimu ndogo, ikakunyima exposure basi unaridhika na mambo madogo
Ndio maana yule jamaa alisema mnataka mpewe mimba nyinyina wake zenu ndipo muone kitukimefanyika.

Sasa wewe mjinga, unategemea serikali ikufanyie nini mpaka usuuzike, zaidi ya kukutoa bikra ya nyuma!!!
 
Tuipende na kuijenga nchi yetu kwa pamoja na umoja. Tusimsifu kiongozi anayetimiza wajibu wake kupita kiasi.
 
wewe ni mjinga na mpumbavu sana
 
Ww umetembea tabora au unaizungumzia tabora manispaa? Unapajua tabora igunguli ww?
 
Acha uzwazwa Rais asiposimamia kitu hakuna kitakachofanyika
 
You Must be wrong bro, ungesema hivi Tanzania nzima Inaweza Kumsahau ila sio kwa Wapinzani na na waliokataa Kuunga mkono Juhudi.
Kwani Tz kuna wapinzani ? Hauko serious, hapa tuna wanaharakati tu na wachumia tumbo
 
Mipango ipo mingi tu tatizo utekelezaji.Ngosha aliwapiga BAO la kisigino kwa kuwa yeye alikuwa man of action.Mtamchukia lakini pengo hamtaliziba.Jamaa atabaki juu kama timu ya Italy.Mtasubiri sana
Yaani unamaanisha yule mwehu jambazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…