Tanzania on Twitter ni akina nani? Kwanini vyombo vya dola vinawachekea?

Kaa chini utulie,hata mimi ni member Twitter lakini sio TOT.
 
Mataga nyie si mmeshinda uchaguzi kulikoni tena mnahaha kama kuku aliyekatwa kichwa???
 
Acha kutupotosha, kama wewe unafsidi keki ya taifa kwa sababu tu ni mwanaccm usidhani wote wanafaidi hivyo.
 
Nakazia 🔨⚒️🛠️🔧
 
Nadhan wameshashukiliwa tayar MBN na wamekir kutenda kosa kuna thread asubh imewekwa inayo hus watu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…