Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
I know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya.
Karibuni Bongo mpate world class services!

m17-768x512.jpg

Cs8kmhkXYAAQ_Ot.jpg

CqUy5T9XEAUWEhZ.jpg

Can accomodate over 570 inpatients and has a TZS 206 billion price tag!
 
Liver transplant inafanyika hapo Wakenya hawana haja ya kwenda India au South Africa
Wenzao Uganda wameshasahau kwenda India kufuata matibabu ya moyo, Comorro, DRC na Malawi wameanza kuja, baadhi ya wakenya wamejaa Ocean road cancer Insitute, sasa hii Mloganzila ndiyo Kiboko yao, hawana jinsi lazima waje tu.
 
Mkapa Medical center inakuja baba. Zanzibar pia kuna projects financed by China n Middle East countries. Wakati Bugando upasuaji wa moyo upo mbioni.
 
Kuwa na uwanja mkubwa hakuguarantee 100% improvement ya soka lako. Tuache kelele za ksiwahili sababu ya majengo, kikubwa huduma.

Tunaweza kuwa na facilities na bado tukafelishwa na kuleta siasa kwenye taaluma za watu. Daktari anastahili ujira unaoendana na kazi yake na sio ngonjera
 
Tatizo hizi Hosp zetu zinashindwa kujitangaza kimataifa walitakiwa kuwa open zaidi kutoa takwimu mbalimbali kama za watu mashuhuri watakao tibiwa ,idadi ya wageni kutoka nchi mbalimbali nk nadhani kuna mapungufu kwenye elimu ya uongozi hapa Tanzania Kwa ujumla mambo mazuri hadi mzungu aje kuyatangaza na kuyafanyia uchambuzi

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
kwa hiyo wewe kwa maoni yako tunaweza kuwa na huduma bora bila ya kuwa na modernised health infrastructure/facilities.
 
Tatizo hizi Hosp zetu zinashindwa kujitangaza kimataifa walitakiwa kuwa open zaidi kutoa takwimu mbalimbali kama za watu mashuhuri watakao tibiwa ,idadi ya wageni kutoka nchi mbalimbali nk nadhani kuna mapungufu kwenye elimu ya uongozi hapa Tanzania Kwa ujumla mambo mazuri hadi mzungu aje kuyatangaza na kuyafanyia uchambuzi

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Kwanini unakuwa na haraka kama wakenya?, mambo haya ya tiba yanahitaji uzeofu wa muda mrefu, inabidi kufanya operations nyingi na kutebu wagonjwa wengi sana ili wataalamu waweze kubobea kabla ya kuaminika duniani, pia ni kuhakikisha kwamba huduma hii imewatusheleza na kuaminika ndani ya nchi ndipo ujitanue taratibu, tutafika huko kote, ndiyo kwanza tunaanza, vumilia kidogo.
 
shauri bila kulaumu au kulialia. ukiwa kama mwanaume wewe lazima utakuwa kiongozi wa familia, ukoo, jamii, taasisi au serikali. hatupaswi kulia au kutoa kauli za kinyonge. lazima tuwe na mtazamo chanya iki kuwatia moyo walioko nyuma yetu.
 
Wewe unaongelea hili jipya tu mm ninazungumzia mambo mengi kwa ujumla tunashindwa kuyatangaza hata utalii wetu huduma za treni kama tazara gasi nk

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Mkapa Medical center inakuja baba. Zanzibar pia kuna projects financed by China n Middle East countries. Wakati Bugando upasuaji wa moyo upo mbioni.
Go..go..go..Tanzania, east,central and some Southern countries wanakutegemea wewe uwakomboe, wengine pumzi zimewaishia, mbio ni ndefu[emoji1] [emoji1]
Kwanini unakuwa na haraka kama wakenya?, mambo haya ya tiba yanahitaji uzeofu wa muda mrefu, inabidi kufanya operations nyingi na kutebu wagonjwa wengi sana ili wataalamu waweze kubobea kabla ya kuaminika duniani, pia ni kuhakikisha kwamba huduma hii imewatusheleza na kuaminika ndani ya nchi ndipo ujitanue taratibu, tutafika huko kote, ndiyo kwanza tunaanza, vumilia kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
shauri bila kulaumu au kulialia. ukiwa kama mwanaume wewe lazima utakuwa kiongozi wa familia, ukoo, jamii, taasisi au serikali. hatupaswi kulia au kutoa kauli za kinyonge. lazima tuwe na mtazamo chanya iki kuwatia moyo walioko nyuma yetu.
Kulaumu pia ni sehemu ya ushauri kasome hata vitabu vya dini uone mungu akitoa lawama kibao Kwa wanadamu

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaongelea hili jipya tu mm ninazungumzia mambo mengi kwa ujumla tunashindwa kuyatangaza hata utalii wetu huduma za treni kama tazara gasi nk

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Unalolisema linaweza kuwa na ukweli, kiukweli nchi ilikua inaelekea kubaya sana, sasa tumepata uongozi mpya, hebu tujitahidi kubadilika na sisi wananchi jamani, ulimsikia Magufuli jana alipokuwa bandarini alikuwa anakaribia kutoa machozi, mawaziri hawawasiliani kwa mambo ya msingi kabisa, huwezi kuamini kwamba waziri wa mambo ya ndani anamuona Makonda anasumbuka kufufua magari ya polisi yaliyozeeka, kumbe bandarini kuna magari mapya 53 yamukaa zaidi ya mwaka na wala hastiku.
 
Tatizo hizi Hosp zetu zinashindwa kujitangaza kimataifa walitakiwa kuwa open zaidi kutoa takwimu mbalimbali kama za watu mashuhuri watakao tibiwa ,idadi ya wageni kutoka nchi mbalimbali nk nadhani kuna mapungufu kwenye elimu ya uongozi hapa Tanzania Kwa ujumla mambo mazuri hadi mzungu aje kuyatangaza na kuyafanyia uchambuzi

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu hii sio biashara ya Aviation useme utangaze ATCL au Utalii tanzania, hata clinical trial haifanywi kwa Muda mfupi namna hiyo, sisi ndio kwanza tumeanza, JKCI imeonesha njia, kwenye huduma za Afya tunapiga hatua.
 
Back
Top Bottom