Tanzania Opposition leader Zitto Kabwe arrested ahead of October election

Don YF

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
10,494
Reaction score
9,854
Tanzania Opposition leader Zitto Kabwe arrested ahead of October election

Police in Tanzania have arrested Opposition leader Zitto Kabwe during a political meeting that was held in the south-eastern region of Linde ahead of October 2020 elections.

Kabwe was arrested along with seven other people including Kilwa district lawmaker Suleiman Bungara and taken into custody over unclear charges.

Tanzania opposition leader Zitto Kabwe arrested ahead of October election

Opposition leader Zitto Kabwe was arrested along with seven other people. Photo: BBC

In a report by BBC, Alliance for Change and Transparency (ACT) issued a statement condemning Kabwe's arrest accusing President Pombe Magufuli of stepping on the rights of other citizens.

Recently, Kabwe was found guilty of sedition and barred from making public statements for one year.

Human rights groups have accused Magufuli of shrinking the democratic space with only members of the ruling party being allowed to campaign publicly despite a ban on the same.

Some major newspapers have been shut down with the latest one being Daima Daily which was closed down on Tuesday without any reason for closure being offered to the company.

Tanzania opposition leader Zitto Kabwe arrested ahead of October election

President John Pombe Magufuli has often been described as a dictator by his opponents in Tanzania. Photo: John Magufuli
The newspaper, one of the largest in the country, is owned by the leader of the official Opposition in parliament, Freeman Mbowe.

Non-governmental organizations’ work has also been severely restricted.

Kabwe had been a vocal critic of Magufuli’s administration and his approach in dealing with the coronavirus pandemic.
 
This kind of system is too ancient in a civilized world! North Korea/China n partly Russia.., even Ethiopia kimpango.
 
Duh! Pole zao, nilisoma sehemu kwamba Lissu yule aliyepigwa risasi 38 na kuitoroka Tanzania, anasubiriwa kwa hamu akitua tu anakamatwa, alitangaza nia ya kugombea urais.

Hehehe!! Hawa ndio hujitutumua humu wakitaka kujipima dhidi ya Kenya kwenye masuala ya demokrasia, kitu hawakifahamu ni kwamba hizi kamata kamata kama za kwao ni gharama tulizolipa kitambo sana hadi kufikia huu uhuru tulio nawo leo hii.

Wao bado sana, safari yao iko mbali sana wavumilie, na kwanza watakoma sana maana walau Kikwete alikua akicheka nao, awamu ya sasa nimewaelewa walivyo baada ya kuona walivyoachia corona bila kujali nini wala nini ilmradi mzigo ufike punda ajfie tu.

Ushauri kwa upinzani Tz, waache hizo commedy za kutafuta urais kwa sasa, wasubiri sana maana hata Watz wenyewe washajichokea, nilitazama hiyo video wakati huyo Zito anakamatwa, yaani katiw lokup kizembe huku akina mama tu ndio wanapiga mayowe, nawaza hapa Kenya ilivykua mbinde kumkamata kiongozi wa upinzani enzi hizo, mapolisi hawana hamu kabisa wakikumbuka.
 
Huyo Mhuni na msaliti Zitto kabwe ana bahati sana ni mwananchi wa Tanzania. Angekuwa mkenya, angepigwa risasi kama Jacob juma. Sijui kwanini Mzee wa chato anamchezea chezea hivi. Hata America ukionyeshana dalili za usaliti.

Lazima upatikane umeaga dunia. Hivi juzi tu Billionare mhuni Jeffery Epstein wa marekani alisemekana "kujinyonga" akiwa rumande chini ya ulinzi wa serikali. Hata huyu Zitto mda wake wa "kujinyonga" akiwa rumande umefika.."Ajinyonge" tu kama wana vyo jinyonga kwenye nchi za kidemokrasia
 
Huyo Mhuni na msaliti Zitto kabwe ana bahati sana ni mwananchi wa Tanzania. Angekuwa mkenya, angepigwa risasi kama Jacob juma. Sijui kwanini Mzee wa chato anamchezea chezea hivi. Hata America ukionyeshana dalili za usaliti..Lazima upatikane umeaga dunia. Hivi juzi tu Billionare mhuni Jeffery Epstein wa marekani alisemekana "kujinyonga" akiwa rumande chini ya ulinzi wa serikali. Hata huyu Zitto mda wake wa "kujinyonga" akiwa rumande umefika.."Ajinyonge" tu kama wana vyo jinyonga kwenye nchi za kidemokrasia
Wewe ni mchawi jameni
 
😂😂😂😂😂 Si ujitoe mhanga.
 
yani miaka mitano ya magu ishaisha nakumbuaka akianza jamaa zabongo walisema akimaliza awamu ya kwanza kenya itakua haioni tz kiuchumi...sijui wanasemaje saa ii.ama tuwaongezee awamu nyingine mpaka 2025
 
yani miaka mitano ya magu..ishaisha nakumbuaka akianza jamaa zabongo walisema akimaliza awamu ya kwanza kenya itakua haioni tz kiuchumi...sijui wanasemaje saa ii.ama tuwaongezee awamu nyingine mpaka 2025
Kwani ubao unasomaje au huna taarifa!
 
Duh! Pole zao, nilisoma sehemu kwamba Lissu yule aliyepigwa risasi 38 na kuitoroka Tanzania, anasubiriwa kwa hamu akitua tu anakamatwa, alitangaza nia ya kugombea urais.

Hehehe!! Hawa ndio hujitutumua humu wakitaka kujipima dhidi ya Kenya kwenye masuala ya demokrasia, kitu hawakifahamu ni kwamba hizi kamata kamata kama za kwao ni gharama tulizolipa kitambo sana hadi kufikia huu uhuru tulio nawo leo hii.

Wao bado sana, safari yao iko mbali sana wavumilie, na kwanza watakoma sana maana walau Kikwete alikua akicheka nao, awamu ya sasa nimewaelewa walivyo baada ya kuona walivyoachia corona bila kujali nini wala nini ilmradi mzigo ufike punda ajfie tu.

Ushauri kwa upinzani Tz, waache hizo commedy za kutafuta urais kwa sasa, wasubiri sana maana hata Watz wenyewe washajichokea, nilitazama hiyo video wakati huyo Zito anakamatwa, yaani katiw lokup kizembe huku akina mama tu ndio wanapiga mayowe, nawaza hapa Kenya ilivykua mbinde kumkamata kiongozi wa upinzani enzi hizo, mapolisi hawana hamu kabisa wakikumbuka.
😂😂 nyie kenya mpo na shida sana zaidi ya tz sema mkija humu jf mnajitutumua na kujidanganya wenyewe kwa wenyewe huku mkidhani labda sisi hatuelewi siasa za kenya.

Imagine uchaguzi wenu upo 2022 lakini viogozi wenu washaanza kuvulugana mapema huku kuna battle kubwa kati ya raisi Uhuru kenyatta na makamu wake.

Kenya pia viongozi wenu huwa wanauawawa kimaajabu najua unafahamu inshu ya prof George Saitoti, pamoja na yule jamaa aliyekua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya kenya, nashangaa sana mnaposema mna demokrasia kumbe ukweli ni kwamba kenya kuna demogasia na sio demokrasia
 
Mumefuta upinzani kabisa, Mbowe kachezea kichapo ameufyata haongei tena, Lissu kwanza ndio Tanzania ashaipa kisogo baada ya marisasi, sauti iliyokua imesalia ni ya Zitto, naye ndiye huyo katiwa lokup, waliosalia ni panya buku wasio na sauti yoyote.
 
Mzoga wa zitto kabwe unafaa upatikane vichakani kama ule wa Chris Musando - Mkurugenzi wa Tume ya uchanguzi Kenya. Sijui Kwanini Magu anachelewa chelewa..Hivi imani ya magufuli kwa Mungu imekuwa kikwazo kwa utulivu wa nchi. Anafaa ajue nchi sio kanisa ama msikiti
 
Tz imeoza times 10 Kenya.
 
Tanzania wako kwa giza hadi wa leo.

Back
Top Bottom