Tanzania overtaking Kenya to become the leading economy in the region



Sawa mkuu naona figure zako ni kwa mujibu wa makabrasha yaliyotengenezwa na serikali ambayo imeingia mikataba feki inayosababishia hasara kubwa.
Mkuu ningependa uje na figure za kiasi cha fedha zinazopotea kutokana na ineffieciency ya
*ukusanyaji kodi
*mikataba ya kinyonyaji
 

Mpaka kufikia hiyo 2030 hao Kenya watakuwa wamelala? Kumbuka toka leo mpaka 2030 ni miaka 18 ijayo!!! Acheni kujifaraji, tukaze buti kwa kuchapa kazi na kuacha ubinafsi na ufisadi kwa faidi ya Watanzania wote.
 
Kenya wanakatiba mpya na mambo yao mengi yako kwenye mpangilio sisi hatuwezi kuwazidi labda mfumo huu wa ufisadi na mentality za kiCCM ziondoke vinginevyo ni ndoto hata kufikiria kuizidi Kenya. Katiba mpya ni siasa na porojo, wakulima wanahamishwa kila siku kwenye maeneo yao ambayo walikuwa wakilima ili kupata ridhiki, mikataba mibovu katika sekta za madini, umeme n.k., ufisadi uliokubuhu na kulindwa kwa nguvu za usalama wa taifa na polisi, uzalendo ndio kweshney na mambo kibao ya ajabuajabu
 
Ipatikane sululu ya matatizo kama
  • Kukatika kwa Umeme,
  • Ufisadi
  • Miundombinu duni,n.k
La sivyo hii ndoto tuuuuuuuuuuuuuuuu
 
95% ya uchumi umeshikwa na wageni. Uchumi Unakuwa ndiyo, lakini mgeni amepewa ruhusa kuhamisha faida yote huko anakojua yeye, kwa mtindo huu tutabaki kuwa wachuuzi 'petty traders' for a long time.
hiyo kenya ndio kabisa 98% y aeconomy iko kwa wageni bora tz, kenya ardh yote iko kwa wageni mpaka itimie miaka mingapi vile..... kumbuka mwenyewe historia
 
this is good news for tanzania(i am kenyan). kenya should wake up na tuendelee Kujenga nchi!!!!!

but for me what tanzania should aim for is to have not only a big economy but also a diversified economy. this is very cricial.

example, sudan has a bigger economy than kenya or tanzania but all of that is because of oil, now that south sudan is independent and they have stopped exporting south sudanese oil through north sudan, the north sudanese economy is suffering simply because their economy is not diversified.

in short tanzanians should not be happy just because they have a bigger economy than kenya. tanzanians should be happy when the tanzanian economy is bigger and more diversified economy than kenya
 
hawa world bank wanatumia makalio kufikiri au wana ajenda ya siri? Hali ya watanzania wanaijua hawa? Hao ni nani kusemea hali ya uchumi ya nchi hii.
 
Nina mashaka na vigezo vinavyotumiwa na world bank kuforecast hali ya uchumi wa TZ itakavyokuwa.Mimi si mchumi lakini katika mazingira haya ya kuimport hata tooth pick sidhani kama uchumi wetu una tija.
 
Mimi nilifikiri umekuja na twakwimu mbadala, kumbe unanituma mimi tena nikakuletee takwimu? Acha uvivu bana!



 
no chance of that happening, wakenya are much more intelligent than us hata viongozi wanowaweka madarakani are far intelligent than their counterpart here in tanzania!
 

Unachokisema kinawezekana.
Ila tuache ubabaishaji na kuingia mikataba feki feki.
 
looks like wishful thinking to me; we have to brace ourselves up and put our act together otherwise tutaendelea kuota ndoto za mchana tu
 

Going by the kind of leadership we have and had, only in your dreams!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…