Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

Katavi: Trully African Bush Legendary Park

 

Do!Hizi zote ni baraka kutoka kwa mola. Lakini kwa nini sisi bado ni maskini pamoja na yote haya?. Hapo hatujaweka madini, gesi, makaa ya mawe, mito, bahari, maziwa na sasa mafuta.

-Wanyama wetu wanasombwa wakiwa hai
-Madini yetu yanakwanguliwa na kutuachia mashimo
-Ardhi yetu inagawiwa kwa baei ya kutupwa ya Tsh. 200 kwa hekta tena kwa mikataba ya hadi miaka 99
- Misitu yetu inavunwa sasa tunaachiwa jangwa
-Gesi yetu kabla hatujaanza kuifaidi sisi imeshatekwa na manyang'au
-Kodi yetu inatafunwa kama mchwa
-Samaki tunapigwa marufuku tusiwavue lakini manyang'au yanavuna kama hayana akili nzuri

Kwa ujumla tumebaki mifupa, kila kitu chetu kinabakwa sasa
 
Inabidi watanzania tuamasikike tufanye revolution coz tunakuonda ni mwenye nacho kuongezewa na sisi masikini KUnyanganywa tulicho nacho. "Revolution for change"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…