Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

Leo nimejifunza mengi mazuri humu,nice picture hongera ndinda
 
Mkuu NDIDA, hivi haiwezekani kupata picha nzuri za miji kama Morogoro, Iringa na mingineyo?
Mie pia huwa napatikana SKYSCRAPERCITY lakini picha nzuri za miji hiyo ni adimu..Hata hivyo hongera mkuu kwa kazi nzuri mnayofanya, bila kusahau wadau wengine!
 
daaah kwakweli tumebarikiwa, mwenyezi Mungu atuhurumie na aennnndelee kutupa amani. Amiiin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…