Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

 
NAME YOUR 3 FAVOURITE DESTINATIONS IN TANZANIA AND SAY WHY ?


These are mine.

1. DAR ES SALAAM (The blue Diamond of Tanzania & center for everything)

I would add MWANZA if it was 4 cities :lol:


 
Nina imani mungu huko aliko anajuta sana kuwaweka watanzania ndani ya nchi hii (Tanganyika) na kwa kuwa anajuta iwapo atarudia kuumba dunia mara ya pili, basi tujiandae kwenda kuishi sahara desert ambapo wimbo wetu wa 'nchi changa na maskini' wa bendi yetu maarufu ya CCM utakuwa unaburudisha bila wanasiasa kuomba mwongozo wa spika. Hii laana mimi sijui chanzo chake nini ingawa naamini dawa iko jikoni - M4C.......
 
Kwa raslimali hizi zote nzuri tulizonazo;kwanini tuwe maskini? Mpaka hapo naunga mkono kauli ya Mheshimiwa: "Hata mimi sijui kwanini Tanzania ni maskini."
 
Tanzania nchi nzuri hii inametameta. Kwanini maskini? "Hata mimi sijui".
 
I love my country bhana, hivi kwanini wanaoongoza nchi hii wanatulet down kiasi hiki? jamani hebu tuchague viongozi wanaofaa ili kulinda huu urithi Mwenyezi Mungu katupendelea kiasi hiki kabla hawajauza vyote kwa wageni kwa manuufaa yao binafsi, wakatuachia jangwa....Lets make a right decision in 2015 for our own sake jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…