Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

JAMANI KNA SEHEMU NIMEMUONA TEMBO, KABISA ANA MAWAZO JUU YA UHAI WAKE, HASA AKIHIKUMBUKA CCM NA KATIBU MKUU WAKE DENTIST A KINANa, ANAKATA TAMAA YA KUISHI
 
Ndugu! Mungu akubariki sana yaani umeipendezesha siku yangu kuliko ambavyo ungetegemea. Picha ni nzuri sana na Mungu hakika ametubariki Tanzania tuna rasilimali nzuri sana. Ahsante sana tuwekee picha zaidi tufurahi zaidi.
 
by the way camera yako ni yaaina gani? Iko nzuri hatari lkn na wewe mpigaji upo juu. Keep it up and God bless u always uendelee kutupa burudani.
 
Waoh mkubwa umenikumbusha awali nilipokuwa Ngorongoro Crater.
Aah kweli siku yangu imekuwa njema!
 
by the way camera yako ni yaaina gani? Iko nzuri hatari lkn na wewe mpigaji upo juu. Keep it up and God bless u always uendelee kutupa burudani.
Asante sana Ney, picha nyingi humu zimepigwa na photographer mbalimbali na kila mtu anatumia kamrea tofauti, ukitaka kuangalia picha imepiohwa na kamera gani bonyeza hayo maneno chini ya picha ambayo yanaeza kuwa title mfano hapo juu kwa faru ukibonyeza black rhinos in ngorongoro.... utaona info za picha ikionyesha ilipigwa lini wapi na kwa kutumia kamera gani hapomimeonyesha ni Nikon D300[h=1]Black Rhinos in Ngorongoro Crater in Tanzania-02 1-13-[/h]
 
http://i297.photobucket.com/albums/mm238/efiark/Safari2008/P1000043.jpg
http://i297.photobucket.com/albums/mm238/efiark/Safari2008/P1000082.jpg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…