Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

Mimi nadeal na wildlife nimefulah sana niulize swali lolote kuhusu wanyama wote

naomba kujua upigaji wa hizi picha unakuwaje maana nyingne n za karb then za wanyama wakali
 
Weunejoune;11252285]Including the richness we have[/QUOTE]
We should appropriate what we have .
We have so much to be proud of . We are our own worse enemy .
 
Aaa tena natamani sana kwenda huko lakini sikujaliwa lakini iko siku na nikiwa hai
 

Natamani ningekuwa na fikra za picha ulizo post, lakini serikali yetu inatuharibia hizi ndoto. Tutabaki kufuraia tu lakini hamna mafanikio yoyote kupitia mbuga na rasilimali nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…