Tanzania plans to complete Uganda oil pipeline in 2020

Kafrican sijui kwa nini unalinganisha timeline vitu viwili ambavyo havitakiwa kuwekwa mizani moja, Uganda wanatengeneza miundombinu ya kuweza kusafirisha mafuta yao while Kenyan hakuna miundombinu yoyote mikubwa inayotengenezwa, mnategemea kutumia trivial methods, sasa unategemea nani ataanza ku export ?

Hakuna cha kujivunia hapa, ni sawa na Tz tujivunie uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi ya Marekani, kwa hiyo sisi ni bora zaidi ya Marekani, kwa ufupi usilinganishe vitu viwili vilivyo kati ligu tofauti kabisa.
 
Hebu mtu anifafanulie, hii taarifa yafaa iwe kwenye ukanda ya TZ ama Kenya?...... ama mimi ndo sijaelewa kwaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…