TANZANIA PREMIER LEAGUE:FULL TIME:YANGA 1 VS NDANDA FC 1.

TANZANIA PREMIER LEAGUE:FULL TIME:YANGA 1 VS NDANDA FC 1.

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Hey! members!!
Ligi kuu Tanzania.
YANGA 1
Ndanda 1
Dakika 90 zimeisha uwanja wa Nangwanda sijaona Mkoani Mtwara.
Ndanda 1 likifungwa na Mayanga wa Ndanda FC.
Na goli la YANGA likifungwa na Tshishimbi kipindi cha Pili.
Mpira umeisha kwa sare mkoani Mtwara.
Ahsanteni!!
 
Hey! members!!
Ligi kuu Tanzania.
YANGA 1
Ndanda 1
Dakika 90 zimeisha uwanja wa Nangwanda sijaona Mkoani Mtwara.
Ndanda 1 likifungwa na Mayanga wa Ndanda FC.
Na goli la YANGA likifungwa na Tshishimbi kipindi cha Pili.
Mpira umeisha kwa sare mkoani Mtwara.
Ahsanteni!!
Asante Ndanda,japo kuna uzembe mmeufanya.Tukabidhiwe kombe letu.
 
Gongowazi FC..!![emoji196][emoji196]
Screenshot_2019-04-04-18-10-29-936_com.instagram.android.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Yanga ni bure kabisa. Safari zao ni za kutalii tu.
 
Mimi ni Yanga na natambua ubingwa mwaka huu ni mgumu kutokana na ukweli kwamba timu yetu ni ya kawaida na hivyo haigopwi na wapinzani tunaokutana nao kama ilivyo kwa watani wetu Simba. Tusipokuwa makini hata kombe la shirikisho tutaishia kutolewa pia.
Tuwe tu wavumilivu msimu huu kama ilivyokuwa msimu uliopita. Ufanyike uchaguzi kama ulivyopangwa hiyo mei 5, wapatikane viongozi makini; usajili makini ufanyike mwisho wa msimu ili tuweze kurudi kwenye ubora wetu. Wachezaji wazee, wale wa kawaida wasio na tija kwa timu kama Yanga na wasiojituma wapewe mkono wa kwa heri na kwenda kutafuta maisha kwingine.
 
Back
Top Bottom